Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,729
- 5,639
It was the dream that . I had. Niliota sayari zinazunguka jua na miezi inazunguka sayari,like watching inside a clock. Halafu all those celestial bodies started rotating backwards. After rotating backwards for some time,again they started going forward . Ndipo hapo kati ya watoto watatu wa. Mwalimu,. Mako,. Magige na mimi,mmoja akachaguliwa kuwa rais. Nakumbuka specifically kwamba sio mimi niliyechaguliwa kuwa rais. Mimi nilibaki kuwa spiritual adviser or something. Tunajadili kuhusu haya mambo ya uchaguzi. Kwa sababu haijawahi kuwa tatizo tanzania kumpata rais,na mwaka huu we don't want it to be any different.
Haya mambo niliandika 2015. Nafikiria kuhusu hili jambo. Ule Uchaguzi ulifanyika ulivyopangwa,lakini sasa hauwezi kuhesabika kwamba ulikuwa derailed,na wajumbe wapewe yale majina yaliyopendekezwa kwanza wayapigie kura tena? Yaani,Makongoro,Asha Rose,na wale wengine?