Najihisi mpweke wakati nina mke

Najihisi mpweke wakati nina mke

Try travelling; The experience can be very eye opening. Mchukue mrs muende mapumzikoni. Miji ama mahali ambapo hamjawahi tembelea. Z'bar, mbugani, Nairobi etc. Ili muenjoy make sure una save hela ya kuweza kulala hotelini and the like. Otherwise, kufikia kwa watu ama kwa ndugu tends to be limit the fun
[emoji121]
HUU USHAURI WA KUMALIZA HELA HUU ACHANA NAO MKUU!!!
 
Inapendeza sana.. Napenda sana mapacha hivi pacha wanazaaga mapacha?? Nilisikiaga eti pacha kuzaa watoto mapacha ni nadra make mi ni pacha.


Cc Smart911

Hahahaha... kaone kwanza kalivyo kazuri... na mnavyofanana na pacha wako daah...
 
Me too. Guilty as charged. Sipendi watu kabisa japo nina marafiki wachache wa kweli. Kinachonisaidia ni kusoma mavitabu na kuwa karibu na Mungu. Kwa mwezi naweza kusoma mavitabu hata 10; na hili limenisaidia sana kuwa mwenye tafakari. Na nina kijiwe changu cha tangawizi na wazee hapa mtaani basi kila jioni huwezi kunikosa hapo. Kujichanganya na watu inasaidia sana na ni lazima uwe na marafiki wa ukweli kabisa kabisa vinginevyo mtu unaweza kujikuta unaingia katika depression kali ukaishia kuishi kwa huzuni na hata kujidhuru na kudhuru wengine.
na wewe ni introvert??
 
Umesema hauendi kanisani kwa kuwa wanakutisha huku wao wakipiga hela au sijakuelewa.

Halafu kitu usichokijua sio kila mwenye watoto anakuwa na uhakika wa furaha hapa duniani,kuna wazazi wanaumwa pressure kwa sababu ya watoto wao wa kuwazaa

Hebu fikiria kuna mzee jirani yetu kazaa Toto baunsa la kiume,kalisomesha shule za hela limefika chuo hilo limekamatwa huko somalia kwa kujihusisha na ugaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom