Najihisi mjinga kukosa chuo

Wana kwambia cozi za sayansi vyuoni ni chache na zina ushindani sana.Mi kitu kinacho ni shangaza hizo kozi za arts ni nyingi sana na capacity yake ni kubwa sana lakini sayansi wana tubania
Ni kweli sayansi kuna ushindani boss pia mwaka huu vijana wa pcb wamepasua sana hii inakua shida kwa hawa vijana wa cbg kupata kozi maana kila kozi ya cbg pcb anaingia.... Mpaka baadhi ya kozi za eng wanapiga afu kwa upande wa syansi pcb ni wengi zaidi
 

Nime kuelewa mkuu,hela sio wajibu wako chief
 
Braza tatizo mwaka huu pcb wamefaulu sana ... Na kwa huu utaratibu wao wa kuapply imeleta competition kubwa sana kwa hawa vijana wetu wa cbg maana watu wameachwa mpaka kwenye zile kozi za kawaida kabisa kama education....

Kweli mkuu
 

Exactly chief
 
Tatizo mnapumbazwa kutaka vyuo vikubwa kozi zengine zinabeba watu wachache mnataka kuforce kuweni makini awamu ya 4 imeshafunguliwa.
 
Mkuu fatilia uzi mmoja hivi unasema *mwongozo wa kuchagua kozi 2018/19* katika round hii ya nne kukosa itakuwa ngumu kama ukifnya maamuzi sahihi na chaguo sahihi
 
Usjali mkuu, hii awamu ya nne ya kuapply ww apply chuo chochote na koz yoyote then ukishapata uombe transfer kwa ajili yako unayoipenda na kwa vile vyuo vyene nafasi
 
Mkuu fatilia uzi mmoja hivi unasema *mwongozo wa kuchagua kozi 2018/19* katika round hii ya nne kukosa itakuwa ngumu kama ukifnya maamuzi sahihi na chaguo sahihi

ok thanks much
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…