Najifunza

Najifunza

kitoto wa vitoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2019
Posts
375
Reaction score
419
Najifunza kwa vitendo
Salamu
Kwenu ndugu zangu Rafiki yangu ni mfanyakazi wa hoteli barista & barman
Miaka 29 muda wake wa kazi ni kati ya saa8 kila siku ila ana off day moja. Ila anahitaji kubadili mfumo wake wa maisha kwa kujiendeleza kusoma. Je yupo Sahihi? Je akasomee nn ndani ya huo muda wa free?

Napokea Ushauri Maoni Au Hata Mtazamo Wenu Pia
Karibuni Sana Makazi Yake Ni Arusha
 
Kusoma ndio kila kitu hapo hasa kwenye mambo hayo ya kuajiriwa.

Ila hatuwezi kushauri kama hatujajua sifa za mshauriwa mfano ana kiwango gani cha elimu nk
 
Mwandiko wako ni mbaya mno ,narudia tena mwandiko wako haufai kabisa wewe kwanza ukajifunze kuumba herufi.
 
Ana
Elimu ya kidato cha nne
Tu
Namshauri aende akasome VETA taaluma ambayo anaipenda yeye.

AU

kama hela ipo aende Collage (certificate+diploma) akapige fani ambayo anaipenda yeye kama pass zake zinaruhusu.

All in all kusoma kuna umuhimu mkumbwa hasa kwake yeye kwamaana hata apo alipo ashukuru sana kuwepo hapo wenziwe wamejaza magamba na wanahangaika kutafuta kazi.
 
Noted
Mkuu
Asante sana
 
Najifunza kwa vitendo
Salamu
Kwenu ndugu zangu
Rafiki yangu ni mfanyakazi wa hoteli barista*% &barman
Miaka
29 muda wake wa kazi ni kati ya saa8 kila siku ila ana off day moja. Ila anahitaji kubadili mfumo wake wa maisha kwa kujiendeleza kusoma.je yupo
Sahihi? Je akasomee nn ndani ya huo muda wa free?
Napokea

Ushauri
Maoni
Au
Hata
Mtazamo
Wenu
Pia
Karibuni
Sana
Makazi
Yake
Ni

Arusha
WANAKUJA SOON KUKUPA MWONGOZO MKUU!!!
 
Back
Top Bottom