najiandaa kugombea moshi vijijni....

PapoKwaPapo

JF-Expert Member
Jun 5, 2008
380
45
jina halisi J.J.
nimejiunga chadema mwaka 2004 baada ya kukaa na kadi yangu ya NCCR Mageuzi kwa takribani miaka 10 ivi.......
nimekaa kando kwa muda murefu sana kuwasiliza wenzangu, lkn kwa sasa najiandaa kugombe 2015 jimbo la Moshi vijijini. Nataka nimuondoe huyu mwanauchumi feki Mr Chami.
wajemeni naombeni ushauri wenu.......nianzie wapi?
Nilishaanza kidogo mwaka 2000 lkn nikasitisha ilinimalizie elimu yangu ya juu........kwa sasa nafikiri huu ni muda muafaka kwangu.
natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Sir R

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
2,175
297
Niko Moshi mjini, njoo unione nikupe tuition ya ubunge au udiwani kwa gharama nafuu
 
Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,980
9,558
J J nakuunga mkono 200%, ila naomba uanze mkakati kuanzia mwaka kesho ndg yangu, vinginevyo itakuwa ngumu kuondoa hawa manyang'au!!!!!!!!!!!!

Peopleeeeeeezzzzzzzzzzz!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Akili Kichwani

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,508
215
jina halisi J.J.
nimejiunga chadema mwaka 2004 baada ya kukaa na kadi yangu ya NCCR Mageuzi kwa takribani miaka 10 ivi.......
nimekaa kando kwa muda murefu sana kuwasiliza wenzangu, lkn kwa sasa najiandaa kugombe 2015 jimbo la Moshi vijijini. Nataka nimuondoe huyu mwanauchumi feki Mr Chami.
wajemeni naombeni ushauri wenu.......nianzie wapi?
Nilishaanza kidogo mwaka 2000 lkn nikasitisha ilinimalizie elimu yangu ya juu........kwa sasa nafikiri huu ni muda muafaka kwangu.
natanguliza shukrani zangu za dhati.

kuna mtu anaitwa mbunge wa CCM humu jamvini alitoa darasa maridhawa la siri za kushinda ubunge tz, hebu jaribu kupekua tovuti hii unaweza kufanikiwa.................. kila la heri.................
 
PapoKwaPapo

JF-Expert Member
Jun 5, 2008
380
45
kuna mtu anaitwa mbunge wa CCM humu jamvini alitoa darasa maridhawa la siri za kushinda ubunge tz, hebu jaribu kupekua tovuti hii unaweza kufanikiwa.................. kila la heri.................

nimejaribu kuitafuta hiyo thread sijaipata mkuu, je waweza nipa link?
 
PapoKwaPapo

JF-Expert Member
Jun 5, 2008
380
45
J J nakuunga mkono 200%, ila naomba uanze mkakati kuanzia mwaka kesho ndg yangu, vinginevyo itakuwa ngumu kuondoa hawa manyang'au!!!!!!!!!!!!

Peopleeeeeeezzzzzzzzzzz!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

kaka shukrani nyingi kwa kuniunga mkono kiasi hicho.....
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom