Najiachiaaaaaa

Hapo kwenye red,at 30? mwanamke wa kibongo? Pointers,hivi unajua wasichana wanaodai hivi sasa mjini ni wale waliozaliwa 1990 na kuendelea? kama una wadogo zako wa kiume/wanao wa kiume angalia wanatoka na mabinti waliozaliwa miaka ipi.

Bishanga:
Sasa kama watu wa 80s unasema wamepitwa na wakati, kwa hiyo sisi tuliozaliwa 70's ndio kusema_____________________??
 

Kinamama kwa kweli poleni sana maana kuimba aimbe chiriku akiimba bundi uchuro,lol!
 
Kaka Mpendwa:
Cmon, she is independent, got her own i.e crib, ride, family oriented, has got sense of humor and to top it a bedroom prowess! If you ask me Id say what else could a guy want? So Yes, its admirable, at least to me.
Hi, as usual you amaze me can i be a fan ?
 
Bishanga:
Sasa kama watu wa 80s unasema wamepitwa na wakati, kwa hiyo sisi tuliozaliwa 70's ndio kusema_____________________??

Naomba niwe honest kwako Nemo,kama umezaliwa miaka ya sabini maana yake unaelekea kwenye 40's.Kwa mila za zamani za kiafrika ambapo binti alikuwa anaolewa baada ya kuchezwa ngoma(at 15) ina maana at 35 mwanamke alikuwa na mjukuu tayari.That says it all Nemo!
 
tesa kwa kwenda mbele mamake..
yaaaap Tuko wengi ( hatufungamani na upande wowote)
mmmmmhhhhhh
 
Tumia Condoms tu......mwisho wake kauzee kanakunyemelea na hao Mahb unaowasema kula nao tu wala hawakomagi...
 

Ouch!................................anyways thanks for being honest Bishanga, at least I now know why huwaga sipewagi salamu! Oh well so much for hoping!??
 
Ouch!................................anyways thanks for being honest Bishanga, at least I now know why huwaga sipewagi salamu! Oh well so much for hoping!??
Dont let them pull you down there is still your prince out there waiting to sweep you of your feet saying 'where have you been hiding sweety'.
 
Wanaume wengi wanaogopa kuoa wanawake ambao ni too independent. Kwa uwezo ulionao wewe labda uoe sharobaro. Yaani wanaume wengi wanaona sawa kama mwanamke utapata mafanikio ya juu ukiwa tayari ni mkewe, lakini kukuoa ukiwa na kila kitu sijuhi kwa nini wengi hawana hiyo confidence; hata kama nao pesa ipo wanataka mwanamke wa kawaida kifedha. May be wanakuwa hawaoni femininity kwa mwanamke mwenye uwezo.

Na kosa kubwa la wadada walio na uwezo ni kusimulia. Yaani unapata jamaa wewe unaanza kubwabwaja "niliponunua BMW X5 nikasema sasa nijenge" kumbe ndio unaharibu kabisa. Bora ukae kimya akijashtuka kuwa wewe mambo safi too late kesha fall.
 
Dont let them pull you down there is still your prince out there waiting to sweep you of your feet saying 'where have you been hiding sweety'.

Uporoto1
THank you for your words of encouragement, maana karibu nilie...........................hahahahahha. Ila it's not really hiding dear, except for fact that hawa prince wetu wa siku hizi wanaotaka kuwa treated kama yai siwawezi and/or hawaniwezi
 
Alijisemea na mr ebo
vijana wa salidalama mtajirusha sana mwishowe mtaanguka!!Lol
sijui hana hata wazazi au hata ndg wa kumshauri kama ni kweli??
still asking ma self sijui wako zaidi ya :grouphug:
 
We maisha yameshakushinda na umechanganyikiwa kitambo!!at the age of 30 bado unajiachia hivyo basi hesabu imekula kwako na ndio maana huolewi sababu unaonekana ni mzee na may be changudoa!sorry kwa comments zangu but
najaribu kukueleza ukweli maana inaonekana hufai kwani unapenda starehe na kuji show up!!pole yk!!
 
The truth is hayo ufanyayo naweza kukuambia hayana faida katika maisha yako dada,hebu fikiria mpaka sasa umepata faida ipi?Au ni kitu gani unaweza kumwonesha mtu kama faida kutokana na uliyofanya?Ushauri wangu fanya yaliyo mema,kama vile kubadili tabia,kama unatumia kilevi acha,jikeep busy kwa shughuli tofautitofauti,naamini utafurahia maisha zaidi ya unavyodhani!
 

Sijapenda hii lugha!
 
Hakuna mwanaume anaona mwanamke wa dizaini yako sikuizi. Hata wanaume ambao hawajutulia wana enjoy sex na kudate wadada wa race mbalimbali nao wanatafuta wanawake waliotulia, sio wanaorukaruka kama wewe. Thats fact, kubali kataa, kama unataka kuolewa inabidi ubadilike. If not, then continue with your partying lifestyle, its your life.
 
Naomba ufafanuzi wana JF
Mtu akisema ana-enjoy SEX na amesha-date alot of pipo, ni kwamba ana sifa UZINZI au ndio normal life?
Mkuu, naona neno zuri la kutumia hapo ni "UASHERATI" kan hayupo ktk ndoa, huyu ni mwasherati tena mwandamizi, nashauri abadilike ingawa yeye anatafuta kundi la anaofanana nao kama wapo, sijui anataka wanzishe nini?
 
Ouch!................................anyways thanks for being honest Bishanga, at least I now know why huwaga sipewagi salamu! Oh well so much for hoping!??

I just hope kwamba tayari umekwisha mpata ambaye wewe ni his last love.Goodluck wewe na huyo mwenza.
 
Dont let them pull you down there is still your prince out there waiting to sweep you of your feet saying 'where have you been hiding sweety'.

Uporoto,Nemo tayari ana prince wake wa daima na milele,au nakosea Nemo? usinishushue mbele ya Uporoto tafadhali,just say yes ninaye!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…