Fredwash
JF-Expert Member
- Oct 27, 2009
- 1,419
- 2,091
Hivi ingetokea janga hili la Coroca ndo limetokea wakat Kuna BBA.... na South wana Lockdown inamaana wale waliomo ndani si ndo ingekuwa mazima mpaka hali ikae sawa... nafikiri shindano lingesitishwa automatic na waliomo ndani wangeendelea kuishi na kuhudumiwa kama wapo makwao bila ya kuwa voted kwenye chochote... na pengine mpaka shindano liishe mimba zingeshapatikana humo ndani....
na hivi hawana access ya kujua walipo ama kinachoendelea Duniani wasingejua how serious hili janga lilivyo.
na hivi hawana access ya kujua walipo ama kinachoendelea Duniani wasingejua how serious hili janga lilivyo.