Najaribiwa jamani

Umejaribiwa, Ukajaribika.
Vaa miwani ya mbao naendelea kuwavua chupi kila siku.
W
 
mwanaume ajaribiwe na demu wa chumba cha jirani msimu huu cold, aje humu labda unatuchora baada yakutoka bafuni ulivyofanya yako.
 
Wamekuona wewe mrahisi....

Mgegedo bwerere kila atakae anachonga.....



Anyway chai nzuri
 
Waoneshe kwamba unauhusiano na mwenzao bayana ili hao wengine wakae mbali na wewe.

Wanajua fika na yeye anafanya kila kitu watu wanaona na hapo ndipo kwenye ttzo they dont care hilo
 
Kuna riwaya fulani ya mtunzi IRENE MWAMFUPE,nimesahau jina tu nikikumbuka nitakuambia,isome vizuri sana maana inafanana kila kitu na mkasa wako

Kama sikosei itakuwa ile MAJANGA MBONA MAJANGA
 
MKUU, Cha msingi wew usipate shida waite wote waambie kama vipi muwe mna piga 4some yani FFFM, Ukiona vip njoo inbox tualikane
 

Shukrani kwa maneno yako busara mkuu wangu
 
Wote wananiambia mm hb, mrefu & decent

Hela sina mkuu nnazo za kula tu

Hii ni kweli kbs tena sujaweka detail nyingi maana ningekua na hadithi ndefu sana aysee

eti handsome na ela huna unazingua tu amna dem wa kukwambia wewe ni hb unaleta mitego tu humu utongozwe
 
Siku ukilishwa limbwata ndo utakoma! Achana na hao wanawake wote. Kuwa mkali na uvae sura ya mwanaume, hata kama unampenda huyo wa kwanza achana naye, ni bora ukaoe kwingine
 
Kazi ni kwako....

Kama all you want is sex and you care less about its consequences in your relationship then give them what they've been asking for...

If on the other hand you wanna be a 'nice' guy then refrain from doing so.

Whichever path you choose, proceed with caution. I sense a trap that you are already halfway into.
 
eti handsome na ela huna unazingua tu amna dem wa kukwambia wewe ni hb unaleta mitego tu humu utongozwe

Hayo ni mawazo yako mkuu sijaja kujipa promo ningeenda FB au Badoo na hilo lilikua swali tu kwenye maada kuu sikulisema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…