Naiweka wapi sura yangu?

Acha kwenda kwenye kila tamasha la Taarab
 
ikikuuma itakuwa kweli kitu ambacho sio cha kweli hakiumagi

achana nao fanya mishe zako wanadamu ndivyo tulivyo chanyiongeza tafuta demu mkali pita nae maeneo yote wanaokuita shoga ikibidi piga mimba
Weee kitu ambacho siyo cha kweli hakiumi?

Tafuta uzi humu uone, jamaa anavyoumia mkewe kamsingizia katembea na shemejie nawakati si kweli na mke analeta vituko huyooo kaota mapembe!

Inauma mno mtu kukusingizia ama kukusakizia jambo la uongo
 
FAFANUA VIZURI....HIVIHIVI TU UITWE SHOGA KOTE HUKO YANI MTAANI NA KAZINI...KUNA KITU
 
Kwani wenye pesa wote wa umri wako huitwa mashoga?
 
Najua wanawake ndio wanaoongea sana, Sasa ww mpitie mmoja baada ya mwingine, wahataongea tena! Ila ukiwaacha hivhiv wataendelea kuongea kuwa ww ni shoga! Take action!
 
Kwa huu uandishi wako, nawaachia wachangiaji waseme! RIP Kaoge.
 
Wewe nawe siyo mzima. Ungekuwa mzima usingeleta huo ujinga hapa. Wanaume tunaongea kwa vitendo hofu ya nini?.
Wavimbishe matumbo mabinti mtaani hapo kimya.
Kwanza wewe ni mtoto miaka 18.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…