Naiweka wapi sura yangu?

Sura yako baki nayo usiiweke popote,ila jiulize kwanini wanakwita shoga. Ukishapata jibu anzia hapo hapo.
 

Zaidi ya utajiri wako, kipi kingine kinachowafanya wakuite shoga?, Uzuri wako?, Kuongea kwako?, umbo lako, hawajakuona na Mademu?
 
Mkuu hebu weka picha yako kwanza tuilinganishe na maneno wanayosema isije ikawa ni kweli..
Mana siku kuna wavulana wana share vipodozi na dada zao.
 
Iweke Avatar Jf, ila apo ulipojiita 'mtoto' napata walakini kidogo
 
Hapa kuna lililofichika zaidi ya hayo maelezo. Sijawahi sikia mtu akipata mafanikio ktk umri mdogo aitwe shoga.

Hapa sababu za msingi zilizopelekea kuitwa shoga. Ni vema ungesimulia vizuri kama sio promo.
 
"Lisemwalo lipo!"
Jichunguze tabia zako... Watu hawawezi kukuita shoga tu bila sababu! Mbona huku kwetu kuna madogo wanamafanikio na hatujui wana mishe gani, lakini hamna anaewaita mashoga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…