Jf Mpo Vzr JamanMsaada anaeijua dawa ya nguvu za kiume maana imekua shida
Ushalipatia ufumbuzi Hilo la[emoji115][emoji115]
Jf haisahu labda mods wafanye yao mkuu.Jf Mpo Vzr Jaman
Hebu isome hii thread yake hapo chini kwanzaHEBU WEKA PICHA YAKO TUKUONE, WENGINE TUNAWAJUA HATA KWA SURA.
Lisemwalo................. Jitafakari kwa nn wanakusingizia.Mtaani wananita shoga hadi maeneo nayofanyia kazi, shule niliyomaliza kisa nimendelea kiuchumi halafu ni mtoto wa miaka 18.
Wanajua nafanya kazi lakini wanasema kazi yangu ya kuweka nyimbo kwenye flash haina hela mi hela natoa wapi wakati mi hela napata kwenye biashara yangu.
Ushauri nifanyeje