naitwa Judith

naitwa Judith

Jisikie upo nyumbani.
Posts zikikuboa we sign out. Usilumbane na watu.
Karibu sana mpenzi.
 
Your prayers are hereby granted.your membership is dully accepted and the members have accepted to accord you any assistance needed.In case of any dissapointment let you not quarrel. Clear and simple words are highly appreciatted.
 
thanx
 
Miss judith mbona sijakuelewa! Unaonekana kama umesha anza sekondari ..halafu unadai unataka kuingia la kwanza? Any way karibu sana judith!
 
most people dont understand me! but u'r welcome
 
asanteni jamani. namshukuru sana smati manake naona atanisaidia kuwa smart. kaka aizak nashukuru kunijulisha maana ya jina langu, na jata PM nimeishajifunza, nitazitumia ondoeni shaka, nyote mbarikiwe sana.

merry x-mass & happy new year 2011

Maneno yako yadumu kwako na kwa wanawake wengineo!
Yan'tia nguvu moyoni...kama wanawake wengine wangekua na hizi kauli nzuri...mizozo kwenye ndoa ingekua kwishneyyyy!
 
karibu sana mpz sie tupo tu jana leo na .........,Mungu akipenda,jiskie huru na kuuliza au kuomba msaada popote utapoona umeshindwa si wajua mficha u....... hazai?
 
asanteni sana wapendwa, nimeanza kuwa mwenyeji
 
Back
Top Bottom