Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,626
- 164,691
- Thread starter
- #21
Mamlaka ya kuhukumu umeyapata wapi?!Huyu fisadi mfananishe na mafisadi wenzake siyo mtu mwingine hata kidogo.

Mamlaka ya kuhukumu umeyapata wapi?!
Uchaguzi mkuu wa Oktoba utakuwa ni kama "gharika" mithili ya gharika iliyotokea enzi za Nuhu hivyo wanasiasa wengi wa chama tawala wanajaribu kuingia ndani ya safina(Ukawa) ili kuepuka dhoruba hiyo ambapo Lowassa kama ilivyokuwa kwa Nuhu, ndio mwenye jukumu la kuingiza wana-CCM wake kwa waume ndani ya Safina hiyo kabla ya kufunga milango ya Safina Oktoba 25.
Ukawa ni Safina wanasiasa ingieni kuepuka dhoruba ya Oktoba 25.
Ole wenu nyote mtakaokuwa nje ya Safina hii pale gharika kuu itakapotua kwani mtalia na kusaga meno.
mkuu wewe endelea na mabadiliko ya moyoni. mimi niache na ''rais wangu wa moyoni'' ama kweli mbowe ni mubaya sana.we toa hadi kamasi.... No one have time for that.... Mabadiliko ndicho kilicho moyoni mwa weng
Hao unaowaita Nyumbu ndio wapiga kura subiri tu muda ufike ujue nguvu ya hao unaowabeza.Ni kweli. Na kwenye hiyo Safina kainga yeye na familia yake tu. Ingawa kapakia Wanyama aina ya nyumbu na kuwaacha wengine