Naitaji watu wenye uelewa mpana na busara wanishauri juu ya huyu mchumba wangu

Ndugu mi nadhan watu hawajaelewa vizuri ukiangalia distance ya mchumba wa kwanza mpaka was pili mpaka kuleta posa nimiaka 5... Je ilitakiwa nikae mda gani???
Pili huyu jamaa Mimi nilikataa mpaka nikamwambia aanze yeye kunipeleka kwao kanipeleka DEC 24 kwa wazazi wake wote na alitaka kuja Jan kwetu nikawa namuomba muda zaidi mpaka akaniambia kama sijaridhika nae nimpe jibu moja maana anaona kama namzungusha feb 19 akamuita baba ake mdogo ndio wakaenda nyumbani.... Mimi sijui nilipoharibu labda sina bahati na wanaume tu
Huyu hakua na tabia mbaya zaidi ya ubahili wa pesa ambapo sikuona shida sana maana na Mimi ninazangu
Tatizo limetokea kwa huyu bint ndio kawa kikwazo msg zao nasoma niza kirafiki shida ni kwamba wapo busy kuchart asubuh ,mchana na jion ,,,, na kupigiana cm Mara kwa Mara picha inaonyesha mmoja wao ana interest nimemkataza jamaa mawasiliano na huyo bint anadai MTU wanafanya kazi ofc moja ningum kuacha kuwasiliana nae shida ipo hapo
Sasa ndo nikwambie huyo bwana ako na huyo demu wanatakana so simple logic!

Hebu kaa pembeni kwanza, uangalie mchezo unavyokwenda, kwa sasa utapagawa asee
 
Juz nilileta Uzi wangu wa nimelikoroga ...nimeamua nifanye maamuzi magum kuna vitu kadhaa najiuliza sana
Naomba nitoe historian yangu fupi ili kidogo mjue tunaanzia wapi kulimaliza hili
Naomben watu kidogo wenye uelewa mpana na hapa naeleza ukweli wa maisha yangu acha hizo story/ nyuzi za nyuma zenye ujana ujana mwingi
Nimezaliwa 1987...
Elim yangu chuo
Nimejiajir kazi yangu inawejiweza kwa kiac kunipa mkate wa kila Sikh
Nov 2013 nilipata mchumba tulikutana kanisan akawa amenipenda na kuja kwa kasi ya ajabu maana tulionana Nov 26 lkn DEC 15 alinipeleka kwao akanivisha Pete mbele ya kanisa na January akaja nyumban kwetu kujitambulisha baaada ya WK wazazi wake wakaja kupatana mahar na kutoa siku hiyohiyo
wote tulishangaaa kasi ya jamaa lkn madai yake ni kanipenda ataki kunipoteza
Mimi nilikua naishi arusha nyumban mwanza basi baada ya mahar kabla ya kurudi kwangu nikawa nimeenda kwake ili kupajua nikawa nimepata ujauzito
Kumbe jamaa presha hizo alikua amezinguana na x wake ni mwl hapo hapo alipokua anafanyia kazi sasa akafanya kumkomoa kumbe x nae wameachana alikua tayar ana mimba so tulipishana miez 2 Mimi na xwake....
kufunga ndoa ikashindikana wazazi wake walikua watu wa dini ikabidi wasubirie nijifungue
Huku jamaa alipogundua X wake nimjamzito na walikua kijiji kimoja mapenz yakarudi upya kule
Du niliteseka sana maana alinifanyia visa vya kila rangi... Mimba ilinitesa ikabidi nije nyumban nikae nilipata mawazo hum nilifungua thread 1000 za ID tofauti ili kuomba ushauri...namshukuru mama angu alikua bega kwa bega kunifariji maana nilifikia hatua mbaya..sasa kukwepa aibu ya watu maana kwenye mahari walikula na kusherekea ikabidi tuwadanganye kua jamaa kapata matatizo kafungwa
Mpaka baba angu uwa sikai nae nimkali sana bamuogopa kama chui nae tukamdanganya hivyo mpaka leo anajua yule mchumba kafungwa
Baada ya yote nikarudi chuo nikawa na maisha yangu ya kujitegemea

Jan 2017 niakutana na huyu wa sasa tumeanzia urafiki mpana jun tukawa wapenz DEC akanipeleka kijijin kwao kunitambulisha kwao wakajua tumeshaoana maana hata kulala ilikua chumba kimoja
Feb akaja kujitambulisha kwetu baba angu akaitwa kwanza alikua amekataa kupokea posa akamwambia mama private je kamchunguza kwanza??? maana tunapisha miaka 2 tu na jamaa alafu mi namtoto jamaa hana
baba akasema je mmewe akitoka gerezan itakuaje??? Maana alimtolea mahari OK tukayabumba mzee kishingo upande akakubali posa akatushauri tuishi kwa Aman na upendo sababu wote watu wazima
Kasheshe imetokea ya kuwasiliana na huyo Dada
Jana huyo Dada kanitukana sana ananiambia Mimi kuolewa na jamaa nisali sana au niroge sana
Usiku nimeongea na jamaa nimemwambia sitaki mawasiliano na huyo Dada jamaa kanijibu hayo maisha nayimpangia nimagum mno hawez kosana na rafiki yake wametoka mbali
Watu wenye hekima naomben mnishauri nifanye nn? Baba namwambia nn? majiran kwa mwaka mwingine tena hii aibu naimalizaje??? Nimechanganyikiwa nataman nizime cm nipoteee kabisa Ila namuwaza mtoto wangu ataishi VP nakosa maamuz

Pole kwa changamoto za maisha, muombe Mungu yote yatapita maana ni sehemu ya maisha. Umeshafanya makosa kadhaa huko nyuma, mfano kuwakubali wanaume haraka haraka bila kuwajua vizuri, yawezekana wanasema maneno matamu unayoyapenda, kumbe unanasa mtegoni na unajiingiza matatizoni.

Lakini katika kosa baya ulilofanya ni kumdanganya baba yako kwamba yule jamaa yako wa kwanza amefungwa gerezani. Tena kwa kushirikiana na mama yako!

Ni cha kufanya sasa

1) Rudi kwa Baba yako na umuombe radhi na umueleze ukweli wa kila kitu kilichotokea. Baba ni mzazi, atakusamehe na itakuwa rahisi kutatua mengine mengi huko mbeleni
2) Angalia makosa uliyoyafanya huko nyuma, na hakikisha kwamba huyarudii tena na uyatubu
3) Mungu amekupatia zawadi ya mtoto, focus akili yako kwa kumtunza, kumlea - mpende mwanao, ili aje kuwa raia mwema na asifanye makosa kama uliyoyafanya wewe.
4) Kwa sasa kazana na a) shughuli zako za kujiingizia kipato na b) mwanao c) kaa karibu na wazazi wako,
5) Achana na habari za wanaume hasa kuolewa, majaribio mawili ya kuolewa yanatosha kukupa shule. Kama kuna mwanaume mpe muda wa kutosha, awe rafiki kwanza, mfahamiane kabla kujiingiza kwenye ndoa. USIWE NA HARAKA TENA.

6) Kuishi bila mume ni maisha pia, ishi maisha yako, jikubali wewe kama wewe, jipende, jitunze, usijilinganishe na wengine wowote, muombe Mungu, sali sana ili akupe majawabu ya maswali yote, kwani kwake yeye hakuna linaloshindikana.

7) Tulia, jaribu kuishi maisha ya utulivu, usipanic na usifanye chochote kwa haraka

Kila la heri
 
Sasa ndo nikwambie huyo bwana ako na huyo demu wanatakana so simple logic!

Hebu kaa pembeni kwanza, uangalie mchezo unavyokwenda, kwa sasa utapagawa asee
Hivi mtu sio mpenzio wala ndugu hata ndugu yako huwezi kila wakati mnapigiana simu hata kama ni mpenzio kuna muda anatakiwa kufanya kazi hao wanatakana au wapo pamoja, na atapagawa kweli mie nijuavyo kwenye uchumba watu huficha makucha lakini mambo yakibumbuluka mapema unamshukuru Mungu
 
Ndugu mi nadhan watu hawajaelewa vizuri ukiangalia distance ya mchumba wa kwanza mpaka was pili mpaka kuleta posa nimiaka 5... Je ilitakiwa nikae mda gani???
Pili huyu jamaa Mimi nilikataa mpaka nikamwambia aanze yeye kunipeleka kwao kanipeleka DEC 24 kwa wazazi wake wote na alitaka kuja Jan kwetu nikawa namuomba muda zaidi mpaka akaniambia kama sijaridhika nae nimpe jibu moja maana anaona kama namzungusha feb 19 akamuita baba ake mdogo ndio wakaenda nyumbani.... Mimi sijui nilipoharibu labda sina bahati na wanaume tu
Huyu hakua na tabia mbaya zaidi ya ubahili wa pesa ambapo sikuona shida sana maana na Mimi ninazangu
Tatizo limetokea kwa huyu bint ndio kawa kikwazo msg zao nasoma niza kirafiki shida ni kwamba wapo busy kuchart asubuh ,mchana na jion ,,,, na kupigiana cm Mara kwa Mara picha inaonyesha mmoja wao ana interest nimemkataza jamaa mawasiliano na huyo bint anadai MTU wanafanya kazi ofc moja ningum kuacha kuwasiliana nae shida ipo hapo
Pole sana, sio huna bahati bali hujapata mtu sahihi au au riziki yako ujakutakana nayo, chunguza vizuri hayo mawasiliano yao au huyo bwana shemela hakutaki kaamua kumpa namba akusumbue ili uachie ngazi, fanya uchunguzi vizuri .
 
Mwenye busara nimekuja ila nimegundua we Asha ngedere tu tena jini mkata kamba unaeteswa na past mbovu i mean umeruka ruka umeanza kuogopa kuzeeka so unawinda wa kukuoa ***** in short umeshakula miba ujanani jiandae kuinya uzeeni
 
Punguza huruma kwa wanaume... Usiwape huo utamu kirahis rahisi... Usikimbilie ndoa.... Wewe fanya kazi lea mtoto wako achana na hao wapuuzi. Utakuja jiua bure kwa mijana ume isiyo na akil. Ila na wewe una kasoro. Why mara ya pili tena unaangukia huko huko? Tatizo linaweza kuwa wewe... Achana nao please fanya biznez nyingine.... Ukiwa na hamu at least unamtafuta mtu ambaye hamja ahidiana ndoa.... But kwa ninj ufanye kabla ya ndoa? Dont.
 
Mwenye busara nimekuja ila nimegundua we Asha ngedere tu tena jini mkata kamba unaeteswa na past mbovu i mean umeruka ruka umeanza kuogopa kuzeeka so unawinda wa kukuoa ***** in short umeshakula miba ujanani jiandae kuinya uzeeni
Hahah! mkuu Billie nimeona busara zako
 
wanaume wa dar es salaam utawajua tu wana wachumba na wake ila wanawaambia wasichana hawana duh ni shida
 
Juz nilileta Uzi wangu wa nimelikoroga ...nimeamua nifanye maamuzi magum kuna vitu kadhaa najiuliza sana
Naomba nitoe historian yangu fupi ili kidogo mjue tunaanzia wapi kulimaliza hili
Naomben watu kidogo wenye uelewa mpana na hapa naeleza ukweli wa maisha yangu acha hizo story/ nyuzi za nyuma zenye ujana ujana mwingi
Nimezaliwa 1987...
Elim yangu chuo
Nimejiajir kazi yangu inawejiweza kwa kiac kunipa mkate wa kila Sikh
Nov 2013 nilipata mchumba tulikutana kanisan akawa amenipenda na kuja kwa kasi ya ajabu maana tulionana Nov 26 lkn DEC 15 alinipeleka kwao akanivisha Pete mbele ya kanisa na January akaja nyumban kwetu kujitambulisha baaada ya WK wazazi wake wakaja kupatana mahar na kutoa siku hiyohiyo
wote tulishangaaa kasi ya jamaa lkn madai yake ni kanipenda ataki kunipoteza
Mimi nilikua naishi arusha nyumban mwanza basi baada ya mahar kabla ya kurudi kwangu nikawa nimeenda kwake ili kupajua nikawa nimepata ujauzito
Kumbe jamaa presha hizo alikua amezinguana na x wake ni mwl hapo hapo alipokua anafanyia kazi sasa akafanya kumkomoa kumbe x nae wameachana alikua tayar ana mimba so tulipishana miez 2 Mimi na xwake....
kufunga ndoa ikashindikana wazazi wake walikua watu wa dini ikabidi wasubirie nijifungue
Huku jamaa alipogundua X wake nimjamzito na walikua kijiji kimoja mapenz yakarudi upya kule
Du niliteseka sana maana alinifanyia visa vya kila rangi... Mimba ilinitesa ikabidi nije nyumban nikae nilipata mawazo hum nilifungua thread 1000 za ID tofauti ili kuomba ushauri...namshukuru mama angu alikua bega kwa bega kunifariji maana nilifikia hatua mbaya..sasa kukwepa aibu ya watu maana kwenye mahari walikula na kusherekea ikabidi tuwadanganye kua jamaa kapata matatizo kafungwa
Mpaka baba angu uwa sikai nae nimkali sana bamuogopa kama chui nae tukamdanganya hivyo mpaka leo anajua yule mchumba kafungwa
Baada ya yote nikarudi chuo nikawa na maisha yangu ya kujitegemea

Jan 2017 niakutana na huyu wa sasa tumeanzia urafiki mpana jun tukawa wapenz DEC akanipeleka kijijin kwao kunitambulisha kwao wakajua tumeshaoana maana hata kulala ilikua chumba kimoja
Feb akaja kujitambulisha kwetu baba angu akaitwa kwanza alikua amekataa kupokea posa akamwambia mama private je kamchunguza kwanza??? maana tunapisha miaka 2 tu na jamaa alafu mi namtoto jamaa hana
baba akasema je mmewe akitoka gerezan itakuaje??? Maana alimtolea mahari OK tukayabumba mzee kishingo upande akakubali posa akatushauri tuishi kwa Aman na upendo sababu wote watu wazima
Kasheshe imetokea ya kuwasiliana na huyo Dada
Jana huyo Dada kanitukana sana ananiambia Mimi kuolewa na jamaa nisali sana au niroge sana
Usiku nimeongea na jamaa nimemwambia sitaki mawasiliano na huyo Dada jamaa kanijibu hayo maisha nayimpangia nimagum mno hawez kosana na rafiki yake wametoka mbali
Watu wenye hekima naomben mnishauri nifanye nn? Baba namwambia nn? majiran kwa mwaka mwingine tena hii aibu naimalizaje??? Nimechanganyikiwa nataman nizime cm nipoteee kabisa Ila namuwaza mtoto wangu ataishi VP nakosa maamuz
Kwa hiyo sasa hivi una pete mbili za uchumba!!.

Naomba unipe moja kuna mdada hapa analazimisha ndoa sana nataka nikamvishe ili nijilie vyangu nipite.
 
Mi nakushauri usilazimishe sana ndoa kiasi cha kuvua chupi hovyo hovyo.

Ndoa ni Ibada huwa inaletwa na Mungu.

Akikujia mtu tulia na muombe Mungu akupe muongozo.
 
Mimi sijaelewa, umesema shida ni kuwasiliana na huyo dada. Anakutukana ............... Dada gani huyo?
 
Back
Top Bottom