pole kwa hali ngumu unayopitia kwa sasa... vyeti vyako ni vizuri sana hongera.
ila kwa Tanzania ya sasa unaamini huwezi toboa haya maisha bila kupita/kufika elimu ya juu (degree masters phd etc ?)
ni wakati wa kubadili fikra zetu na kuangalia mambo/fursa nyingine ili kujikomboa kiuchumi....
kila la kheri