covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 8,389
- 20,878
Wataalam macho yangu sehemu ile ambayo inatakiwa kuwa nyeupe yenyewe yana rangi ya uwekundu wekundu kama mvutasigara au bangi, mnywa pombe kali na hili nimeliona kwa watu wengi wa bongo.
Kama kuna mtaalamu anayeweza kunisaidia njia au aina ya dawa inayoweza kufanya macho kuwa meupe naomba anisaidie coz napenda macho yangu yang'ae maana upendeza.
Nb: sina ungonjwa wa manjano na wala situmii pombe kali na sivuti sigara wala bangi..