Naitaji kujua net wave ya google inauungwaje?

Parata

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
3,090
675
Napenda tu kama kuna mwenye idea ya proces za google na jinsi ya ku seti intanet ya bure, sababu inasemekana unaweza tumia intaneti bure ila unatakiwa useti kupitia google mwenye idea jaman please anipe information na proces
 
Kang
kipo sema t aujui kijana wangu ila iyo mambo ipo coz kuna jamaa anaseti kwa ktumia gharama xana
 
hahahaha skia hio ipo kwenye nchi ambazo wameruhusu google iwe bure, mfano vodacom web box google si bure so unaweza access whole internet bure kama utaeka zile unique ip na dns zao za 8.0.0.8 kama sjakosea. Ila otherwise kawaida sjui kama inawezekana. Try ur lucky bro
 
Kang
kipo sema t aujui kijana wangu ila iyo mambo ipo coz kuna jamaa anaseti kwa ktumia gharama xana

and kaka kwa ushauri tu matapeli wapo wengi, unaweza kuta mtu kakuekea bundle akakudanganya kua kakusetia net bure after mwezi imekata. Mfano anakutoza elf 50 hadi laki 1 anakuekea voda unlimited mwezi elf 30 tu then anablock number ya sms, we utadhan net bure after mwez inakata
 
Hakuna huduma kama hiyo, Google hawatoi internet service Tanzania kwa hiyo unalosema technically haliwezekani, kama unatumia mtandao wa Voda/Tigo etc huyo ndo Internet Service Provider wako, wamasiliano yote yanapitia kwao, kwa hiyo Google hawana uwezo wa kuifanya bure hata wafanye vipi.
 
Napenda tu kama kuna mwenye idea ya proces za google na jinsi ya ku seti intanet ya bure, sababu inasemekana unaweza tumia intaneti bure ila unatakiwa useti kupitia google mwenye idea jaman please anipe information na proces

Hakuna cha bure duniani ndugu, jikaze kisabuni kuendelea kulipa..!
 
Back
Top Bottom