Hilo ombi lako nalifanisha na mtu mmoja aliyekuwa akitafuta gari ya m. 1.6,lakini anatakaWadau habarini. Naitaji iphone 3g au 3gs budget yangu ni 250000/ iwe kwenye hali nzuri pia iwe na accessories zake zote.
Asanten wadau.
Wadau habarini. Naitaji iphone 3g au 3gs budget yangu ni 250000/ iwe kwenye hali nzuri pia iwe na accessories zake zote.
Asanten wadau.
hahahaaaa' Symbian uzerz' mpaka sasa 2011!!! poleni sana,,,,,,,,,:lol: :lol: :lol: :lol:iphone sio issue..ni bora ukanunua nokia 5800 unapata mpya kabisa.
mkuu kwa hiyo bei labda usubiri mtu aporwe ndio wakuuzie na kwa bahati mbaya hao watu hawapo humuWadau habarini. Naitaji iphone 3g au 3gs budget yangu ni 250000/ iwe kwenye hali nzuri pia iwe na accessories zake zote.
Asanten wadau.
hahahaaaa' Symbian uzerz' mpaka sasa 2011!!! poleni sana,,,,,,,,,:lol: :lol: :lol: :lol:
ukiwa na Iphone sahau matatizo madogo madogo ya multimedia, office na social networking''',,Iphone mwanzo mwisho, hilo la kudownload music ishu ndogo sana kwa Iphone, tena bure, bundle yako tu',,,,,,,,,,,,ukiwa na iPhone, kudownload musics, albums mpaka utumie iTunes nayo inacost $,.wakati nokia ni bure.
Wadau habarini. Naitaji iphone 3g au 3gs budget yangu ni 250000/ iwe kwenye hali nzuri pia iwe na accessories zake zote.
Asanten wadau.