Naitaji hizi simu

Naitaji hizi simu

J627204

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
268
Reaction score
99
HAUWEI ,SAMSUNG ,SON ERIKSON Bei100000 mwisho 150000
 
Mm Nina iPhone 3 Iko kwenye hali nzuri sn bei maelewano km utahitaji nipigie no 0718542408
 
njoo pm nina huawei y300 tutaelewana coz ina crek kwenye dispray
 
Nina bb 9630. Curve three dukani ni 630,000 mpaka 500,000 mm nauza 150,000 bila chaja na eadphone. Au kama unaweza nitafutie nokia e6 tubadilishane.naomba PM
 
Hauna 5s mkuu..nahitaji

Zipo ila zinakuja kwa oda tu,mfano ukihitaji hiyo 5s mm nitakuambia ni bei gan mpaka ifike tanzania uki accept hyo bei ndiyo simu yako itayumwa kama hauta accept ntaendelea kukukaribisha www.hellenonliineshop.com
 
Nina iphone 5s mwenye kuhitaji anipm bei laki tisa na 4s bei laki tano
 
Back
Top Bottom