Naitaji gari nzuri ya mkononi, bajeti yangu ni.....

Naitaji gari nzuri ya mkononi, bajeti yangu ni.....

IMG-20171108-WA0005.jpg
IMG-20171108-WA0006.jpg
mil 5
 
IMG-20171109-WA0008.jpg
IMG-20171109-WA0006.jpg
IMG-20171109-WA0005.jpg
IMG-20171109-WA0004.jpg
IST ipo sokoni hyo ..inaenda kwa mil 7.5 kwa mwenye uhitaj anichek namba 0679502252
 
Naitaji gari nzuri iliyotumika lakini iwe ipo katika hali nzuri.

Iwe na sifa zifatazo

Cc zisizidi 1500

Gari iwe namba D au C iliyo katika hali nzuri

Isiwe imepata ajari

Isiwe imerudiwa rangi wala mikwaruzo

Iwe toyota but sio vitz,passo au ist

Bajeti yangu haizidi Mil 6

Ni pm au weka picha hapa na bei then nitakupm
Nina alteza namba c mil 6View attachment 627797
IMG-20171110-WA0060.jpg
IMG-20171110-WA0061.jpg
IMG-20171110-WA0070.jpg
hyo apo mkuuu
 
Hongera kwa mpango wako wa kujikwamua kutokana na kero ya usafiri. Nakushauri next time ukitaka kununua dont be moved by registration inayoanza na D au C.
Kumbuka inaweza kuwa D lakini ni gari la 2000, inaweza kuwa A lakini ni gari ya 2008,
Nadhani unaelewa ninacho jaribu kukuelewesha.
Hili ni tatizo kubwa sana. Watu hawajui kuwa namba unapewa kutegemea umeingiza lini gari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom