Naitaji gari nzuri ya mkononi, bajeti yangu ni.....

Naitaji gari nzuri ya mkononi, bajeti yangu ni.....

Hongera kwa mpango wako wa kujikwamua kutokana na kero ya usafiri. Nakushauri next time ukitaka kununua gari dont be moved by registration inayoanza na D au C.
Kumbuka inaweza kuwa D lakini ni gari la 2000, inaweza kuwa A lakini ni gari ya 2008,
Nadhani unaelewa ninacho jaribu kukuelewesha.
 
Kama haujapata ni pm nikupatie Hzo gari ulizozitaja

Ova
 
Naitaji gari nzuri iliyotumika lakini iwe ipo katika hali nzuri.

Iwe na sifa zifatazo

Cc zisizidi 1500

Gari iwe namba D au C iliyo katika hali nzuri

Isiwe imepata ajari

Isiwe imerudiwa rangi wala mikwaruzo

Iwe toyota but sio vitz,passo au ist

Bajeti yangu haizidi Mil 6

Ni pm au weka picha hapa na bei then nitakupm
njoo pm nikupe gar km bdo hujapata
 
Umefikia guest gan? Alokwambia uje mjini kununua gari ya mil6 kumbe anataka kukutapeli bado hamjaonana tu?
 
Usikatishwe mil6 pesa nyingi sema usiwe na papara tena utapata gari mzuri tu pia hiyo pesa yako ukivuka tu Zanzibar unakuja na Verrosa
 
Naitaji gari nzuri iliyotumika lakini iwe ipo katika hali nzuri.

Iwe na sifa zifatazo

Cc zisizidi 1500

Gari iwe namba D au C iliyo katika hali nzuri

Isiwe imepata ajari

Isiwe imerudiwa rangi wala mikwaruzo

Iwe toyota but sio vitz,passo au ist

Bajeti yangu haizidi Mil 6

Ni pm au weka picha hapa na bei then nitakupm
Ongeza moja tano nikupe brevis
 
Hebu nitumie picha ya hiyo Prado,Nina shida na Prado
Screenshot_2017-11-04-17-28-49.png
Screenshot_2017-11-04-17-27-20.png
Screenshot_2017-11-04-17-27-13.png
Screenshot_2017-11-04-17-26-36.png


Kwa bahati mbaya hapa nilipo sina picha za kutosha, ila gari iko poa kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom