Jerry santonga
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 647
- 566
Nikupe port namba D...utaongeza laki mbili niPm nikutumie picha watsap
inaweza pata isiyosumbua kabisa iko safi lakini isiyorudiwa rangi isiyochubuka mmmh labda kama haitembelewi.... usiweke machaguo magumu kama gari nzuri rangi unapiga na hutajua kama imwpigwaNimeleta tangazo umu sababu kuna mshikaji wangu kapata spacio new model kwa Mil 6.5 umu umu na ukiiona kama mpya kabisa haijawai msumbua.
Bro,samahani kwani kusajili gari iwe A,B,C,au D wanaangalia vigezo ganiHongera kwa mpango wako wa kujikwamua kutokana na kero ya usafiri. Nakushauri next time ukitaka kununua dont be moved by registration inayoanza na D au C.
Kumbuka inaweza kuwa D lakini ni gari la 2000, inaweza kuwa A lakini ni gari ya 2008,
Nadhani unaelewa ninacho jaribu kukuelewesha.
Ok sawainaweza pata isiyosumbua kabisa iko safi lakini isiyorudiwa rangi isiyochubuka mmmh labda kama haitembelewi.... usiweke machaguo magumu kama gari nzuri rangi unapiga na hutajua kama imwpigwa
Nimekuskia mkuuUsikatishwe mil6 pesa nyingi sema usiwe na papara tena utapata gari mzuri tu pia hiyo pesa yako ukivuka tu Zanzibar unakuja na Verrosa
It ain't funny tho!Umefikia guest gan? Alokwambia uje mjini kununua gari ya mil6 kumbe anataka kukutapeli bado hamjaonana tu?
Sijaedit chochoteMbona kaeleweka? Labda kama kaedit
Najanjoo pm nikupe gar km bdo hujapata
F*ck ya ownIt ain't funny tho!
Hapa sijakuelewa.. Unaweza ingiza gari ukasajili namba A?Hongera kwa mpango wako wa kujikwamua kutokana na kero ya usafiri. Nakushauri next time ukitaka kununua dont be moved by registration inayoanza na D au C.
Kumbuka inaweza kuwa D lakini ni gari la 2000, inaweza kuwa A lakini ni gari ya 2008,
Nadhani unaelewa ninacho jaribu kukuelewesha.
Una stress wewe sio bureF*ck ya own
Wewe unataka amalizie mshahara wake kwenye weseeeFika tisa mkuu upate land cruiser prado saafi isiyo na shida.
Hivi huwa jamuelewi kiswahili? Ni milion 6 ndo zimebahetiwa, mnataka familia aitunze vipi. Si angewaambia anahiyo 7.5 m?Ongeza moja tano nikupe brevis
usajili wa gari ni sawa na darasa la kwanza/pili/tatu n.k na inawezekana aliyeko kidato cha nne akawa mdogo kiumri kuliko aliyeko kidato cha pili.Bro,samahani kwani kusajili gari iwe A,B,C,au D wanaangalia vigezo gani
Mkuu na ku pm namba ya whatsap unitumie gari offer million 5Kama haujapata ni pm nikupatie Hzo gari ulizozitaja
Ova
Naku pm namba ya whatsap kuna mtu anahitaji garinjoo pm nikupe gar km bdo hujapata