Naitaji Friji Ndogo

Naitaji Friji Ndogo

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,341
kutokana na tatizo la umeme kukatika sasa, ulirudi kwaksi sana na kuchoma friji la kiofisi changu jana wakuu, mwenye friji dogo ya wastani isiyozidi laki na hamsini na iwe na uwezo wa kugandisha, mwenye nayo ani PM tufanye biashara nipo dar.
 
Nataka kuondoa deep freezer nyumbani. Ni kubwa sana (sijui lita ngapi lakini inaweza kuingia mbuzi 4 wasiokatwa, hehehe descriptions kama za kijijini). Inagandisha sana na umeme ukikatika hata siku 4 huhitaji kuhofia. Bei ndogo sana, nimekueleza just in case unataka kubwa kwa ajili ya nyumbani ama sehemu ya biashara.
 
King'asti naweza kuhifadhi watu wa size yako wawili kwenye hiyo freezer bila kuwakata kata ?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom