Naitaji ajira

Naitaji ajira

Miaka 10 iliyopita nimepiga 823KJ
Ndugu mtoa mada,wewe umepiga kikosi kipi?
Na unaweza kufanya kazi zipi?
Ungeorodhesha ,Ili muajiri aweze kuona.
Mimi miaka 4 iliopita nimepga apo apo msange tabora op ssh
 
JAMANI NIMEONA MNALALAMIKA KUUSU NAMNA YA KUWASILISHA UJUMBE EBU NIPENI INTERVIEW NDIO UTAKAPOONA UWEZO WANGU ....#📌UWEZO HAUPIMWI KWlA MWANDIKO NA MPANGILIO 🔥
 
JAMANI NIMEONA MNALALAMIKA KUUSU NAMNA YA KUWASILISHA UJUMBE EBU NIPENI INTERVIEW NDIO UTAKAPOONA UWEZO WANGU ....#📌UWEZO HAUPIMWI KWlA MWANDIKO NA MPANGILIO 🔥
Hakuna mtu atakupa ajira kwa mwandiko wa majigambo hivi mdogo wangu.
Use a polite and professional language..jipe muda kusoma mabandiko ya watu humu wanaoomba kazi.
 
Hakuna mtu atakupa ajira kwa mwandiko wa majigambo hivi mdogo wangu.
Use a polite and professional language..jipe muda kusoma mabandiko ya watu humu wanaoomba kazi.
Aunt habari yako
 
Nahitaji ajira elimu kidato cha 6 sema kidato sio muhimu, cha msingi mshahara. Nipo Dar Es Salaam

Nimepga JKT hata wenye connection za majeshi njooni mnipe .

Asante
Platinum Credit Limited ni kampuni inayotoa mikopo kwa Watumishi wa Umma, wafanyabiashara na wafanyakazi kampuni binafsi.

Wanaahitajika Mawakala wa Mauzo mkoa wa Dar es salaam

SIFA ZA MUOMBAJI:
  • Awe na elimu kuanzia kidato cha nne
  • Mwenye utayari wa kujifunza
  • Uzoefu wa kazi za mauzo na masoko
  • Awe mwaminifu na mwenye kujitambua
  • Umri usiopungua miaka 20

MAOMBI:
Muombaji atume nakala ya wasifu (CV) Kupitia njia zifuatazo
Email: ally.kafuku.platinum@gmail.com
Whatsapp: 0757962335
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom