The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,780
- 8,155
Iulize chatgpt itakupa nini cha kufanya humu huwezi pata jibuUnasemea online marketing
Iulize chatgpt itakupa nini cha kufanya humu huwezi pata jibuUnasemea online marketing
Kuna utoto pia mkuu.
A yapo sana mkuu, mbona mimi nasoma na vijana wanaandika "xaxa" badala ya sasa na mengine yafananayo na hiliKutojua kwa ufasaha lugha yake ya taifa siyo utoto ni uzembe mkubwa sana, tena kijana wa kidato cha sita!
Miaka 13 kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha sita anashindwa kuandika neno nahitaji au hata.
Libaba la kidato cha sita bado linachanganya herufi kubwa na ndogo kwenye sentensi.
Mpangilio wa ombi la kazi hauonyeshi unyenyekevu, staha na heshima.
Hapa alitakiwa awaonyeshe waajiri ufasaha wake katika kujieleza na kuandika.
Hay
A yapo sana mkuu, mbona mimi nasoma na vijana wanaandika "xaxa" badala ya sasa na mengine yafananayo na hili
Wengine wanataka wampe kazi ila inayohusisha kuandika taarifa mbalimbali.Me namuelewa kama amepiga comb za sayansi au hesabu nyingi Kuna Hali flani unasahau kuandika maneno mengi ya kiswahili ndiyo analopitia
Ingependeza mumsaidie kama Kuna uwezekano kwenye hitaji lake kuliko hivi mnavyomkosoa sana hata mtu anayetaka kumpa ajira anaweza kughairi kwa kusoma comment zenu
Uko sahihi mkuu ila pia waaajiri wanaweza kutaka kumpa kazi ila wakusoma maoni yenu watabadili mawazo juu ya kumpa kitengo kijana wa watuWengine wanataka wampe kazi ila inayohusisha kuandika taarifa mbalimbali.
Sasa kwa jinsi anavyoandika na mpangilio wake lazima wawe na shaka naye.
Si ndioNi majinga hayo. "Xaxa" ni neno la lugha gani? Mtu mwingine ukimwandikia hivyo meseji anakufuta kazi.
Huyu anatosha kujipigania 😁Mungu aku piganie
Huyu hata ubunge hapati, maana kusoma na kuandika shida.Muhimu = Cha Msingi
Mpe nafasiHuyu kijana natilia shaka sana uwezo wake katika kufanya kazi
Atapata kama akiwa CCM 🤣🤣🤣🤣Huyu hata ubunge hapati, maana kusoma na kuandika shida.
Kikubwa mshaharaSiyo kwa ubaya ila jinsi ulivyoandika hili tangazo ni kibabe sana🙌, anyway wanakuja Mkuu
Miaka 10 iliyopita nimepiga 823KJHabari zenu wana jamii Naitaji ajira ELIMU kidato Cha 6 sema kidato sio muhimu Cha msingi mshara nipo dsm....nimepga JKT ata wenye connection za majeshi njooni mnipe . Asante
😂😂😂, yaani ukiwa boss lazima ushtuke kwanza 😆😆🙌Kikubwa mshahara
Amepiga mpaka jkt😀
Ila form wana mbwembwe😂🙌
Tafuta namna nzuri yakuwasilisha, shida yako iliupate wakukusaidia... (Namna nzuri ya uandishi ilyo jaa hekima na Busara)... Unaweza ukawa na CV nzuri kielim ila vitu kama mazungumzo vikatilia shaka uwezo wako na UAMINIFU.Habari zenu wana jamii Naitaji ajira ELIMU kidato Cha 6 sema kidato sio muhimu Cha msingi mshara nipo dsm....nimepga JKT ata wenye connection za majeshi njooni mnipe . Asante
Ke au Me?Habari zenu wana jamii Naitaji ajira ELIMU kidato Cha 6 sema kidato sio muhimu Cha msingi mshara nipo dsm....nimepga JKT ata wenye connection za majeshi njooni mnipe . Asante