naitaj projector ya faster

naitaj projector ya faster

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
692
je ntapata kwa bei gan na alie tayar anipe details
 
je ntapata kwa bei gan na alie tayar anipe details
we una bei gani mkuu,tuma pm nieleze na unataka aina gani specs,mpya au used ntakutafutia nikutumie haraka mradi ulete pakee mapema
 
Nec ipo bulb yake ina masaa zaidi ya elfu moja una sh ngapi usiwe na kigugumizi
 
Nimefurahi kwa ushirikiano huu. hata mimi nahitaji kwa ajili ya kufundishia. nitawapataje nyie mabwana?
 
Back
Top Bottom