Naitafuta legacy ya Bernard Membe kwa watanzania

Kiturilo

JF-Expert Member
Sep 27, 2021
709
2,858
Hahahaha mzee wa kuingia dakika ya 89 na kufunga goli alafu akaishia kufanya kampeni kwenye kijiji cha Rondo. Ni mgombea urais pekee aliyeweka rekodi ya kufanya kampeni zenye ukubwa wa eneo sawa na mwenyekiti wa kijiji.

Licha ya Membe kuwa waziri kwa miaka 15 hakuna legacy yoyote aliyowaachia watanzania
 
Kwani yale mapene "B 40" toka kwa Hayati Gadaffi hakuyajengea legacy yoyote TZ?

Au we ni Sukuma Gang umetumwa kuja kumchafua Mzalendo wetu wa ukweli
 
Hahahaha mzee wa kuingia dakika ya 89 na kufunga goli alafu akaishia kufanya kampeni kwenye kijiji cha Rondo. Ni mgombea urais pekee aliyeweka rekodi ya kufanya kampeni zenye ukubwa wa eneo sawa na mwenyekiti wa kijiji.

Licha ya Membe kuwa waziri kwa miaka 15 hakuna legacy yoyote aliyowaachia watanzania
CCM huwa ina vitu vya ajabu kuna watu ndani ya CCM wanabebwa tu lakini hawawezi kusimama wenyewe

Ukiwaachia tu wasimame wenyewe ni aibu hawana ushawishi wowote mmojawapo Membe

Hana ushawishi wa maana hata kijijini kwake akisimama yeye kama yeye asipobebwa na chama
 
CCM huwa ina vitu vya ajabu kuna watu ndani ya CCM wanabebwa tu lakini hawawezi kusimama wenyewe

Ukiwaachia tu wasimamizi wenyewe ni aibu hawana hashawishi wowote mmojawapo Membe

Hana ushawishi wa maana hata kijijini kwake akisimama yeye kama yeye asipobebwa na chama
Umesema kweli kabisa
 
Hahahaha mzee wa kuingia dakika ya 89 na kufunga goli alafu akaishia kufanya kampeni kwenye kijiji cha Rondo. Ni mgombea urais pekee aliyeweka rekodi ya kufanya kampeni zenye ukubwa wa eneo sawa na mwenyekiti wa kijiji.

Licha ya Membe kuwa waziri kwa miaka 15 hakuna legacy yoyote aliyowaachia watanzania
Tz ukishakuwa Ti-si basi basi legacy yako kubwa na watakuogopa
 
Hahahaha mzee wa kuingia dakika ya 89 na kufunga goli alafu akaishia kufanya kampeni kwenye kijiji cha Rondo. Ni mgombea urais pekee aliyeweka rekodi ya kufanya kampeni zenye ukubwa wa eneo sawa na mwenyekiti wa kijiji.

Licha ya Membe kuwa waziri kwa miaka 15 hakuna legacy yoyote aliyowaachia watanzania

Alikua kiongozi kama wengine, remarkable legacy kwa mwananchi wa kawaida siioni,kumbuka ni mmoja ya wale watu wanaoamini wanajua na wana uwezo wa kufikiri kuliko wengine, tungempa uraisi ndio hili mngelijua!

So far kitabu chake kimefungwa tumtakie pumziko jema kiongozi wetu!
 
Umeshindwa kutaja legacy hata moja
 
Hahahaha mzee wa kuingia dakika ya 89 na kufunga goli alafu akaishia kufanya kampeni kwenye kijiji cha Rondo. Ni mgombea urais pekee aliyeweka rekodi ya kufanya kampeni zenye ukubwa wa eneo sawa na mwenyekiti wa kijiji.

Licha ya Membe kuwa waziri kwa miaka 15 hakuna legacy yoyote aliyowaachia watanzania
Alikuwa mtumishi wa umma kama wengine.
 
Back
Top Bottom