alichukua mwaname gari ilichukuliwa dar na nina imani iko dar maelezo kamili yako polisi
maelezo ya gari yanatosha na namba ya gari wazee
kama unajua iko kwa macheni, sasa unataka watu wakusaidie kuitafuta wapi tena??????????iko kwa macheni mwenyewe manaake nafahamiana nae
Kinachoendela nadhani si msaada bali ni dhihaka na kupoteza kabisa sifa ya U-great thinker!Kama ni kumsaidia asaidiwe, hiyo gari yake pengine hakuwahi kuipiga picha na ndio maana ameweka picha ya gari inayofanana na hiyo gari yake, ni dhihaka sana kuanza kumwambia mtu anayekuomba masaada maneno ya kukatisha tamaa, geuza shilingi upande mwingine uone ingekuwa wewe ndo unaambiwa mara utafute mfukoni, mara sijui ufanye nini, jamani tuwe wastaarabu!
naomba nikuhoji ,unaiba wake za watu ,kwanini uliweka tinted nyeusi kabsa ihali ukijua watu wanataka kujua nani anaendesha gari hiyo.
any news ndugu zangu
any news ndugu zangu
huyu naye haeleweki. ngoja atafute mwenyewe.
maelezo ya gari yanatosha na namba ya gari wazee