Ok ila naona maelezo yako ni nusu nusu!! Labda Ngoja tuende pamoja!! Toa maelezo kuwa gari nilimpa xxx anafanya kazi kampuni yyy na huwa anaishi Maeneo ya qqqqqqq na Hii gari alikuwa anatumia kutemebelea na marafiki zake xxxx na ni mtoto wa shangazi yangu, or Rafiki yangu or Mchumba mtarajiwa na pia unaweza kuweka picha yake!!!
Ila hizo picha za toyota harrier kutoka mtandaoni sijui kama sitasaidia!! Ni vizuri ukakaa na kutulia na kuanza kumwelezea Mhusika ili tuweze Kujua nyendo zake ila kwa sasa the information is too open!! Imagine unatufanya tukiona kila Harrier tuanze kuwazuia kupata maelezo!!