NAITAFUTA CHIVALAVALA YA VIJANA JAZZ

NAITAFUTA CHIVALAVALA YA VIJANA JAZZ

chardboy77

Member
Joined
Aug 5, 2013
Posts
53
Reaction score
6
Wakuu nautafuta sana wimbo wa vijana jazz unaitwa chivalavala. naomba kama kuna mtu anao tusaidiane kupitia 0766399341. Nitachangia hela ya bundle.
 
Mimi natafuta wimbo wa Tancut Almas nisioufahamu jina lakini ndani yake kuna kibwagizo kisemacho "wamama mwipulike...". Pia wimbo wa Nifah wa Orchestra Makassy.
 
Kibwagizo hicho kipo kwenye album walioifanya nje ya bendi ya tancut almasi, Kasaloo kyanga na Kyanga songa, nafikiri nilikuwa inaitwa Wakulima
 
Nyimbo zote za zamani njia ya mkato kuzipata ni kuenda TBC Radio.
 
Back
Top Bottom