Ila hawa jamaa EA Radio wazuri sana kwa kutengeneza watu wapya.Yote kwa yote hii ni biashara na kila mtu anatafuta riziki,kama kuna channel kaiona itampa mkwanja mrefu,acha aikamate afanye maisha.
Ila hawa jamaa EA Radio wazuri sana kwa kutengeneza watu wapya.Yote kwa yote hii ni biashara na kila mtu anatafuta riziki,kama kuna channel kaiona itampa mkwanja mrefu,acha aikamate afanye maisha.
Aiseee kipindi kitaboa sana maana Lesa Sidi ,Fredoo Munji na Dulla +DJ Summer TZ ilikuwa bonge la kombinenga ila kwasasa hata Lesa sidi hasikiki tangia wiki iliyopita labda na yeye anasepa...Yupo Fredoo peke yake.
Sidhani kama alipewa Benz kweli,itakuwa maigizo tu yao!! EA radio walimpa cheo cha urais wa bongo fleva ndio wakasema rais lazima awe na ndinga ya ukweli,ndio wakampa Benz(hapa ilikuwa sanaa tu).