Naisikitikia JUMAPILI.

Naisikitikia JUMAPILI.

Kumbe ndiyo maana nimebaki mimi peke yangu humu ndani, kumbe wameenda kula na kuliwa!! Sasa huwa wanapikana saa ngapi au wanakulana mbichi mbichi?
 
Siku ambayo wakristo wengi wanaithamini kwa kwenda makanisani kuabudu.
Cha ajabu siku hii imekuwa ya kutenda maovu kwa sisi akina dada wengi sababu ya uhuru tunaopewa majumbani mwetu.
Wengi tunaliwa sana "Jumapili
na wengi wanakula sana Jumapili
Fanya tathmini uone ni siku gani unaongoza kula ama kuliwa.
Inaonekana na wewe ulishaitendea haki jumapili nini? Nakuona hapo kwenye kipengele cha kwanza.
 
ndo unasemaje?

Mkuu unaona uvivu kusoma!p ni vzr ucheki mwenyewe kwny bibble....unasema hivi...wimbo ulio bora 2:7 'Nawasihi,enyi binti za Yerusalemu, Kwa paa na ayala wa porini, Msiyachochee mapenzi, wala kuyaamsha, Hata yatakapoona vema yenyewe'
 
ni kweli kabisa,leo ndio siku ya kusafishana Nyota
 
Siku ambayo wakristo wengi wanaithamini kwa kwenda makanisani kuabudu.
Cha ajabu siku hii imekuwa ya kutenda maovu kwa sisi akina dada wengi sababu ya uhuru tunaopewa majumbani mwetu.
Wengi tunaliwa sana "Jumapili
na wengi wanakula sana Jumapili
Fanya tathmini uone ni siku gani unaongoza kula ama kuliwa.

siku ya eid el fitri yan nifulu kufunguliaaa
 
wana zambi sana hao!! bora mimi nikishabadilishana namba na king'amuzi kanisani! nakishuhulikia katikat ya wiki.
 
ndio kupumzika kwenyewe
watu tumepindisha maana
ya mapumziko lolz!!
 
Utakuta mwingine bila woga anasema anajipumzisha kwa fulani.
 
Hahahahahahahahaaaaaa.....!
Wonderfull!!!!!!!
Safi sanaaaaaaaah!!!!!
....
I hope u a cooooool now!
No comments!

Siku ambayo wakristo wengi wanaithamini kwa kwenda makanisani kuabudu.
Cha ajabu siku hii imekuwa ya kutenda maovu kwa sisi akina dada wengi sababu ya uhuru tunaopewa majumbani mwetu.
Wengi tunaliwa sana "Jumapili
na wengi wanakula sana Jumapili
Fanya tathmini uone ni siku gani unaongoza kula ama kuliwa.
 
siku ambayo wakristo wengi wanaithamini kwa kwenda makanisani kuabudu.
Cha ajabu siku hii imekuwa ya kutenda maovu kwa sisi akina dada wengi sababu ya uhuru tunaopewa majumbani mwetu.
Wengi tunaliwa sana "jumapili
na wengi wanakula sana jumapili
fanya tathmini uone ni siku gani unaongoza kula ama kuliwa.

aiseeeeeeeee
 
Back
Top Bottom