Naisikitikia JUMAPILI.

Naisikitikia JUMAPILI.

chatts55

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
600
Reaction score
97
Siku ambayo wakristo wengi wanaithamini kwa kwenda makanisani kuabudu.
Cha ajabu siku hii imekuwa ya kutenda maovu kwa sisi akina dada wengi sababu ya uhuru tunaopewa majumbani mwetu.
Wengi tunaliwa sana "Jumapili
na wengi wanakula sana Jumapili
Fanya tathmini uone ni siku gani unaongoza kula ama kuliwa.
 
wakikua wataacha!
...wimbo ulio bora 2:7....kwa faida yao
 
Wengi walianza dhambi na kusema uongo toka zamani! Ka research kadogo tu kinaonesha jumapil ndo siku watoto wengi wananunua pipi,biscuit,soda..and the like! Wanagawana sadaka na Muumba!

so umri unapo ongezeka na matendo yanabadilika na kufanya maovu zaidi. Na ogopa binti au mvulana amevaa kapendeza anaenda kanisani hana biblia wala kitabu cha nyimbo! Even a notebook and pen ku note mafundisho na mahubiri!
 
Baada ya majukumu mazito ya wiki nzima, kula na kuliwa ni part of refreshment.
 
Mwelekeze mtoto lipi jema na lipi baya ajue na awe wazi atende na afikiri katika njia iliyo sawa usimbane wala kumnyima uhuru
 
Siku ambayo wakristo wengi wanaithamini kwa kwenda makanisani kuabudu.
Cha ajabu siku hii imekuwa ya kutenda maovu kwa sisi akina dada wengi sababu ya uhuru tunaopewa majumbani mwetu.
Wengi tunaliwa sana "Jumapili
na wengi wanakula sana Jumapili
Fanya tathmini uone ni siku gani unaongoza kula ama kuliwa.

Kuliwa kiaje cjakuelewa!
 
Wengi walianza dhambi na kusema uongo toka zamani! Ka research kadogo tu kinaonesha jumapil ndo siku watoto wengi wananunua pipi,biscuit,soda..and the like! Wanagawana sadaka na Muumba!

so umri unapo ongezeka na matendo yanabadilika na kufanya maovu zaidi. Na ogopa binti au mvulana amevaa kapendeza anaenda kanisani hana biblia wala kitabu cha nyimbo! Even a notebook and pen ku note mafundisho na mahubiri!

Duhh hadi watoto wanakula sadaka,wakubwa short times!!!Kweli hao wanaoenda kwenye ibada bila kitabu chochote cha neno la Mungu kuna uwezekano mkubwa sana wakapitiliza kwenda short times.Unajua nini kama umetoka na biblia itakusuta kuingia nayo kwenye room ya 6*6!
Heri yangu mie nimetoka kanisani na niko nyumbani najiandaa baadaye kwenda kwenye vikao vya harusi si mnajua tena leo ilivyo Jpil Munkari naye yupo nyumbani!@Kaizer Mokoyo na DEMBA sijawaona kanisani vipi kulikoni?
 
Last edited by a moderator:
hyo nikwel kabisa gest zmejaa vbaya mno, wengne wanalewa sana sk kama ya leo vbaka ndo usiseme
 
Duhh hadi watoto wanakula sadaka,wakubwa short times!!!Kweli hao wanaoenda kwenye ibada bila kitabu chochote cha neno la Mungu kuna uwezekano mkubwa sana wakapitiliza kwenda short times.Unajua nini kama umetoka na biblia itakusuta kuingia nayo kwenye room ya 6*6!
Heri yangu mie nimetoka kanisani na niko nyumbani najiandaa baadaye kwenda kwenye vikao vya harusi si mnajua tena leo ilivyo Jpil Munkari naye yupo nyumbani!@Kaizer Mokoyo na DEMBA sijawaona kanisani vipi kulikoni?

ni kwel ndugu, ukiwa na biblia au kitabu cha nyimbo dhamira ya kufanya uzinzi itakusuta! Hutakuwa na amani, mashindano ya nafsi na mwili yatafanya uache uovu na dhambi ya kuingia lodge! Ila kama binti kavaa mini na skuna zake na mvulana t shirt na jeans wanaenda ibadan wima wima bila chochote kama wanaenda bar vile..wakitoka ibadan ni kufanya uzinzi tu.

watoto wanakula sadaka sana, jaribu kuchunguza ni siku gan watoto wananunua vipipi na biscuit sana.
 
Last edited by a moderator:
...yeye aliye mchafu na aendelee kufanya uovu,na yeye aliye msafi na azidi kutakaswa... Mungu yuko fair anataka free will ili hata kwenye wakati wa hukumu pasiwe na ubishi...
 
Back
Top Bottom