Naisikitikia CHADEMA yangu kimepoteza dira

Ni chadema yako sio ya kwangu,CHADEMA yangu bado ipo imara
 
Kimepoteza dira Kabisa. Hakieleweki Nini kinafanya. Chama kilikuwa kimekua na kukubalika vyema Kabisa kwa watanzania, cha ajabu kikajipaka ma.v kwa kuchukua mafisadi na majizi yaliyokataliwa na wananchi. Pesa mbaya sana. Sasa hivi Huku mitaani wanasema hiki ni Chama cha wapigaji, ni taasisi ya kuweka na kukopa Kama zilivyo SACCOS. Tulifurahi kwa kupata Chama mbadala kumbe ptuuuuu...wapigaji Dili. Sasa hivi wamebaki wazee wa Siasa siasa za matukio...kinakoelekea kitakuwa Chama cha kufa na kuzikana.

Hivi SACCOS zina shida gani mapa uzidhihaki hivi?
 
Tutolee upuuzi wako hapa!
FreeMaxenceMelo
Where is Ben Saanane?
 
Acha uzushi mkuu.
Mbona siwasikii wakilalamika?

Matukio ya kutengenezwa na CCM yangekosolewa sana kipindi cha nyuma lkn wako kimya. Mfano, wamachinga, mauwaji ya watu saba, lema, mikopo elimu ya juu, dangote, fedha za rambirambi kagera, n.k

Watu waliozoea 'kelele' za wapinzani wanajiuliza, 'mbona upinzani umenyamazia mambo haya?

Kuna mwanajamvi alikuja na uzi hapa kuwa upinzani wako kimya mno.
Wewe umewasikia wakiikosoa serikali kwa utendaji wake lini?
Ni bora wakaendelea kukaa kimya kuliko wakaongea washie lupango,kwanza ni vizuri kukaa kimya ili wananchi mjifunze kwa vitendo.Na pia kuona ubaya wa CCM inawalazimu wapinzani kukaa kimya ili mjionee wenyewe.
 
Kimepoteza dira Kabisa. Hakieleweki Nini kinafanya. Chama kilikuwa kimekua na kukubalika vyema Kabisa kwa watanzania, cha ajabu kikajipaka ma.v kwa kuchukua mafisadi na majizi yaliyokataliwa na wananchi. Pesa mbaya sana. Sasa hivi Huku mitaani wanasema hiki ni Chama cha wapigaji, ni taasisi ya kuweka na kukopa Kama zilivyo SACCOS. Tulifurahi kwa kupata Chama mbadala kumbe ptuuuuu...wapigaji Dili. Sasa hivi wamebaki wazee wa Siasa siasa za matukio...kinakoelekea kitakuwa Chama cha kufa na kuzikana.
Na hizi ndizo threads za anaejiita mwana-Chadea,

Huu ni mwaka muhimu kwa mabadiliko ya ndani, Tuichague CCM

Hakuna tena upinzani Tanzania

CCM Itaendelea kutawala TZ karne nyingine ijayo

Utafiti: CCM chini ya Kinana imeimarika mara dufu

Kisingi huyu jamaa threads zake zote za kuishambulia CHADEMA na Ukawa
https://www.jamiiforums.com/search/8316026/?page=4
 
usiishi kwa kukariri mambo dogo. Mbona Sumaye alikuwa CCM lakini leo ni chadema? Lowasa kadhalika? Tumia kichwa kufikiri sio kufugia tu nywele
 
Wewe buku Saba tangu lini umekuwa chadema wewe gamba eti chama changu chadema chadema hatuwezi kuwa Na mwanachama kama wewe
Kachukue buku Saba yako huko
 
usiishi kwa kukariri mambo dogo. Mbona Sumaye alikuwa CCM lakini leo ni chadema? Lowasa kadhalika? Tumia kichwa kufikiri sio kufugia tu nywele
Ok Kubwa,
Wewe ni lini ulikua CHADEMA??
Nimeweka links za post hapa ukipost kama Ant-CHADEMA,
weka basi na wewe links ukipost kama Pro-CHADEMA
 
Kimepoteza dira Kabisa. Hakieleweki nini kinafanya. Chama kilikuwa kimekua na kukubalika vyema kabisa kwa watanzania, cha ajabu kikajichafua kwa kuchukua mafisadi na majizi yaliyokataliwa na wananchi. Pesa mbaya sana.

Sasa hivi Huku mitaani wanasema hiki ni chama cha wapigaji, ni taasisi ya kuweka na kukopa Kama zilivyo SACCOS. Tulifurahi kwa kupata chama mbadala kumbe ptuuuuu...wapigaji Dili. Sasa hivi wamebaki wazee wa Siasa siasa za matukio kinakoelekea kitakuwa chama cha kufa na kuzikana.
OK
Naomba kuuliza "mama yetu Janeth anaendeleaje na hali yake hapo white house"???
 
Sasa hivi chopa itaota kutu..maana hakuna cha kwenda kuwahubiria tena watu mikoani..
 
hapa ndipo naamini,kumbe wengi walioko lumumba fc na kwingineko wanataman kuingia chadema na kuitwa wanachadema lakini njaa zinawabana..ukitaka kuwa mwanachadema uje umeridhika na kipato chako na sio kuja na njaa zako za buku 7 per day..kiwavi mkubwa
 
Kimepoteza dira Kabisa. Hakieleweki nini kinafanya. Chama kilikuwa kimekua na kukubalika vyema kabisa kwa watanzania, cha ajabu kikajichafua kwa kuchukua mafisadi na majizi yaliyokataliwa na wananchi. Pesa mbaya sana.

Sasa hivi Huku mitaani wanasema hiki ni chama cha wapigaji, ni taasisi ya kuweka na kukopa Kama zilivyo SACCOS. Tulifurahi kwa kupata chama mbadala kumbe ptuuuuu...wapigaji Dili. Sasa hivi wamebaki wazee wa Siasa siasa za matukio kinakoelekea kitakuwa chama cha kufa na kuzikana.
Sasa kama kimekufa si uhamie chama kingine? Kwani ulilazimishwa kubakiamo mbwa mkubwa wee?
 
Sasa hivi chopa itaota kutu..maana hakuna cha kwenda kuwahubiria tena watu mikoani..
Ikiota kutu ni nani atakayeumia kwa kukosa elomu ya iraia kama sio wewe na wajinga wenzako huko Lumumba FC? Maiti mkubwa!
 
mtoamada ushaachia ushz tena,nmekukanya usitoe hewataka mbele zawatu ukanyiki!!
 
Kimepoteza dira Kabisa. Hakieleweki nini kinafanya. Chama kilikuwa kimekua na kukubalika vyema kabisa kwa watanzania, cha ajabu kikajichafua kwa kuchukua mafisadi na majizi yaliyokataliwa na wananchi. Pesa mbaya sana.

Sasa hivi Huku mitaani wanasema hiki ni chama cha wapigaji, ni taasisi ya kuweka na kukopa Kama zilivyo SACCOS. Tulifurahi kwa kupata chama mbadala kumbe ptuuuuu...wapigaji Dili. Sasa hivi wamebaki wazee wa Siasa siasa za matukio kinakoelekea kitakuwa chama cha kufa na kuzikana.

Umepoteza namna ya kujieleza, kwanza km CDM kinaonekana SACCOS kwako huu muda wa kujadili SACCOS unaupata wapi.... halafu unasema kimepoteza dira ... unaamini ni SACCOS si chama cha siasa ....! SACCOS zina wanachama wake peleka malalamiko ya SACCOS kwenye vikao husika....!

Unazungumzia dili, dili hazipigwi nje ya serikali kaka....! Hii ni lugha ya serikali ya CCM juzi tu tumesikia wapigadili ndio walihusika na mikataba ya Dangote na mingine mingi tu , sasa wewe ushasahau hilo....!
Sarikalini ndio wapiga dili walipo....! sikiliza kwa makini neno dili analitamka nani ujue wapiga dili wapo wapi.....!!!
 
Ni bora wakaendelea kukaa kimya kuliko wakaongea washie lupango,kwanza ni vizuri kukaa kimya ili wananchi mjifunze kwa vitendo.Na pia kuona ubaya wa CCM inawalazimu wapinzani kukaa kimya ili mjionee wenyewe.
Kwa huyu jamaa, wapinzani wala wasitumia nguvu na rasilimali kuwaonesha wananchi ubaya wa serikali hii. Kila mwenye ufahamu, anajua kinachoendelea.
 
w
Kimepoteza dira Kabisa. Hakieleweki nini kinafanya. Chama kilikuwa kimekua na kukubalika vyema kabisa kwa watanzania, cha ajabu kikajichafua kwa kuchukua mafisadi na majizi yaliyokataliwa na wananchi. Pesa mbaya sana.

Sasa hivi Huku mitaani wanasema hiki ni chama cha wapigaji, ni taasisi ya kuweka na kukopa Kama zilivyo SACCOS. Tulifurahi kwa kupata chama mbadala kumbe ptuuuuu...wapigaji Dili. Sasa hivi wamebaki wazee wa Siasa siasa za matukio kinakoelekea kitakuwa chama cha kufa na kuzikana.
wewe ndo umepoteza dira chadema bado chama makini sana
 
Back
Top Bottom