Naisikitikia CHADEMA yangu kimepoteza dira

utaifakwanza

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
14,196
2,000
Kimepoteza dira Kabisa. Hakieleweki nini kinafanya. Chama kilikuwa kimekua na kukubalika vyema kabisa kwa watanzania, cha ajabu kikajichafua kwa kuchukua mafisadi na majizi yaliyokataliwa na wananchi. Pesa mbaya sana.

Sasa hivi Huku mitaani wanasema hiki ni chama cha wapigaji, ni taasisi ya kuweka na kukopa Kama zilivyo SACCOS. Tulifurahi kwa kupata chama mbadala kumbe ptuuuuu...wapigaji Dili. Sasa hivi wamebaki wazee wa Siasa siasa za matukio kinakoelekea kitakuwa chama cha kufa na kuzikana.
 
Jay Milionea

JF-Expert Member
Apr 19, 2015
1,178
1,225
Kimepoteza dira Kabisa. Hakieleweki Nini kinafanya. Chama kilikuwa kimekua na kukubalika vyema Kabisa kwa watanzania, cha ajabu kikajipaka ma.v kwa kuchukua mafisadi na majizi yaliyokataliwa na wananchi. Pesa mbaya sana. Sasa hivi Huku mitaani wanasema hiki ni Chama cha wapigaji, ni taasisi ya kuweka na kukopa Kama zilivyo SACCOS. Tulifurahi kwa kupata Chama mbadala kumbe ptuuuuu...wapigaji Dili. Sasa hivi wamebaki wazee wa Siasa siasa za matukio...kinakoelekea kitakuwa Chama cha kufa na kuzikana.
Mamvi co wa mchezo mchezo waache wavune walichokipanda, 2020 hawapati kitu tena, waache waishi kwa kuunganisha matukio, wao kazi yao wanasubiri kila kukicha kuskia jambo waanze kulalamika, wamekuwa kizazi cha kuhoji na kulalamika ovyo ovyo mpaka kero.
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
101,962
2,000
Epuka kuwa muongo na mnafiki. Tangu lini wewe umekuwa ni mwanachama wa CHADEMA!? Hebu soma ulichoandika hapa chini, mwanachama wa kweli wa CHADEMA hawezi kuandika pumba kama hizi.

CCM Itaendelea kutawala TZ karne nyingine ijayo

Kimepoteza dira Kabisa. Hakieleweki Nini kinafanya. Chama kilikuwa kimekua na kukubalika vyema Kabisa kwa watanzania, cha ajabu kikajipaka ma.v kwa kuchukua mafisadi na majizi yaliyokataliwa na wananchi. Pesa mbaya sana. Sasa hivi Huku mitaani wanasema hiki ni Chama cha wapigaji, ni taasisi ya kuweka na kukopa Kama zilivyo SACCOS. Tulifurahi kwa kupata Chama mbadala kumbe ptuuuuu...wapigaji Dili. Sasa hivi wamebaki wazee wa Siasa siasa za matukio...kinakoelekea kitakuwa Chama cha kufa na kuzikana.
 
Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
18,575

Tangu lini umekuwa Chadema,
Chadema inawakosesha usingizi ndio maana hata wewe unaona ufahari kujiita Chadema.
 
Mdudu halisi

JF-Expert Member
May 7, 2014
2,730
2,000
Badala ya kumsikitikia Baba yake na Jesca ambaye amekuwa akishutumiwa na kushambuliwa kila uchao kwa kutozingatia utawala wa sheria, wewe unawasikitikia wakombozi wa wananchi! Huyo malaika wenu ataongoza kaya hii kwa muhula mmoja pekee. Amechokwa na watanzania.
 
kigogo warioba

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
5,595
2,000
ulilazimishwa kuwa mwachadema? lete hoja yenye mashiko tutafakari, mahakama yako ya mafisadi imekosa kesi ya kusikiliza, wee unakuja na hoja yako ya kizushi, ndio maana hawakawii kukuuliza mko na [HASHTAG]#ben[/HASHTAG] hapo?
 
sifongo

JF-Expert Member
Jun 5, 2011
4,825
2,000
Watu wanapolewa bia za ofa weekend.....halafu wanakuja kutapikia huku jf, wewe na chadema wapi na wapi.... .hakunaga wakata viuno kwenye chama la wana.
 
DAFU NA NDIMU

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
3,456
2,000
Mamvi co wa mchezo mchezo waache wavune walichokipanda, 2020 hawapati kitu tena, waache waishi kwa kuunganisha matukio, wao kazi yao wanasubiri kila kukicha kuskia jambo waanze kulalamika, wamekuwa kizazi cha kuhoji na kulalamika ovyo ovyo mpaka kero.
Acha uzushi mkuu.
Mbona siwasikii wakilalamika?

Matukio ya kutengenezwa na CCM yangekosolewa sana kipindi cha nyuma lkn wako kimya. Mfano, wamachinga, mauwaji ya watu saba, lema, mikopo elimu ya juu, dangote, fedha za rambirambi kagera, n.k

Watu waliozoea 'kelele' za wapinzani wanajiuliza, 'mbona upinzani umenyamazia mambo haya?

Kuna mwanajamvi alikuja na uzi hapa kuwa upinzani wako kimya mno.
Wewe umewasikia wakiikosoa serikali kwa utendaji wake lini?
 
future mind

Senior Member
Dec 13, 2016
151
250
Tena acha kuwayumbisha watanzania wakos imani na chama chao mpiga dili ni wew mwenyew na chama chako
 
Mambaku

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
466
250
Watu wanapolewa bia za ofa weekend.....halafu wanakuja kutapikia huku jf, wewe na chadema wapi na wapi.... .hakunaga wakata viuno kwenye chama la wana.
Ukiona mtu anapata ofa ya bia ujue nae ni mtoaji mzuri wa ofa. Wewe baada ya kukosoa alichosema na kuleta fact unaanza kuleta poroja za pombe.
 
Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
14,675
2,000
Kimepoteza dira Kabisa. Hakieleweki Nini kinafanya. Chama kilikuwa kimekua na kukubalika vyema Kabisa kwa watanzania, cha ajabu kikajipaka ma.v kwa kuchukua mafisadi na majizi yaliyokataliwa na wananchi. Pesa mbaya sana. Sasa hivi Huku mitaani wanasema hiki ni Chama cha wapigaji, ni taasisi ya kuweka na kukopa Kama zilivyo SACCOS. Tulifurahi kwa kupata Chama mbadala kumbe ptuuuuu...wapigaji Dili. Sasa hivi wamebaki wazee wa Siasa siasa za matukio...kinakoelekea kitakuwa Chama cha kufa na kuzikana.
mwenyekiti awe lissu

katibu awe Lema

tatizo lenu wajuaji mno
 
Gullam

JF-Expert Member
Dec 1, 2013
5,249
2,000
Kimepoteza dira Kabisa. Hakieleweki Nini kinafanya. Chama kilikuwa kimekua na kukubalika vyema Kabisa kwa watanzania, cha ajabu kikajipaka ma.v kwa kuchukua mafisadi na majizi yaliyokataliwa na wananchi. Pesa mbaya sana. Sasa hivi Huku mitaani wanasema hiki ni Chama cha wapigaji, ni taasisi ya kuweka na kukopa Kama zilivyo SACCOS. Tulifurahi kwa kupata Chama mbadala kumbe ptuuuuu...wapigaji Dili. Sasa hivi wamebaki wazee wa Siasa siasa za matukio...kinakoelekea kitakuwa Chama cha kufa na kuzikana.
Unakaa mtaa gani? Pole sana subili utaona moto wake.
 
Mtumishi Wetu

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
5,695

Wewe Lumumba umelewa mataputapu!!
Huku tunaendelea kujenga chama, tena watu wanamori ya kujiunga CHADEMA.
CDM inakamata kimya kimya ,juzi Kamanda Kafulira karudi nyumbani!!
Utakufa kihoro na post zako zisizo na uharisia!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom