Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
Mie nilimaliza degree pale mlimani ,bado nasugua GAGA!
Wanataka na mimi nikaendeshe bodaboda?
WASHINDWE!
"naishukuru serikali ya ccm na hasa mh rais katika hii miaka hamsini na ushehe ya uhuru,nimepata ajira.mimi ni dereva bodaboda"...nilimsikia kijana mwenzangu akiropoka,cjui alikuwa keshapewa buku 7 au ndo yuko brainwashed
Jishughulishe ukipata elimu ndiyo mwanzo wa kupambana kimaisha siyo kusubiri uletewe ajira mlangoni.Mie nilimaliza degree pale mlimani ,bado nasugua GAGA!
Wanataka na mimi nikaendeshe bodaboda?
WASHINDWE!
Hivi Kwa KILA MTU AKIWA ANA MILIKI BODA BODA NANI ATAMPAKIA MWENZIE. MAANA KILA MTU ANAKIMBILIA KWENYE BODABODA.
NA SERIKALI IFUNGU HOSPTAL MAALUMU KWA AJILI YA MAJERUHI WA BODABODA.
Mie nilimaliza degree pale mlimani ,bado nasugua GAGA!
Wanataka na mimi nikaendeshe bodaboda?
WASHINDWE!
Ccm haitoi ajira wewe elimika.
Ccm haitoi ajira wewe elimika.
We wa wapi ndugu yangu? Haitoi wakati huyo wa bodaboda 'imempa'?
jirani yangu kamaliza udsm marketing na tupo tunakula nae nyasi tu kitaa mwaka wa 3
safi sana, wenye akili ndiyo watasurvive hapa mjini, wenzako wanalala na 70k wewe unabeza!
Mkuu,
Yaani nisome miaka;
7;primary
4;secondary
2;high school
5;university
Total;18
Halafu nije niendeshe BODABODA?
EXCUSE ME!!!!!!!!!!!!!!!!
Kama ndio hivyo mbona hao wanenu tuliosoma nao wanaajiriwa kwenye makampuni makubwa na kuendesha ma-range wakati walikuwa vilaza tu?
Mie niendeshe BODABODA na yule alomaliza la saba afenyaje sasa?Tunawafundisha nini wale wanafunzi wanaosoma sasa?Kuwa elimu ni ufunguo wa BODABODA!?
MSHINDWE!