Lukaku marata
JF-Expert Member
- Dec 4, 2019
- 448
- 752
Kampuni imeanza mwaka gani, inajishughulisha na nini
Angejua asingelalamika mkuuBoraa wewe unasehemu angalau ya kupata chochote.
Wengine graduates wanastress hata sehemu ya kupata buku kwa siku mtihani,bro save as you can.Wengine wakipata hio chance hawafanyi makosa..."Remember 99% of things we worry about never happen".
Boraa wewe unasehemu angalau ya kupata chochote.
Wengine graduates wanastress hata sehemu ya kupata buku kwa siku mtihani,bro save as you can.Wengine wakipata hio chance hawafanyi makosa..."Remember 99% of things we worry about never happen".
Angejua asingelalamika mkuu
Mkuu wewe save tu uzuri ushajua tatizo then take advantage ikitokea imefungiwa si Basi unatafuta maisha sehemu nyingine mzee.I try to save but what i am worrying about siku company ikifungwa sijui itakuwaje
Haya mkuu kila la kheriSijalalamika ila nimeandika angalau nione views za wengine angalau naweza kupata pa kushika after any situatiom occur
ni dhahiri kabisa huna elimu ya fedha kama mamilioni ya watz wengi wakiwemo hata mawaziri wanaotuongezea matozo kila siku.I try to save but what i am worrying about siku company ikifungwa sijui itakuwaje
Kampuni sio yako unajua hadi faida hamna na unawaza ikifungwa huu sio uchawi kweli
Umechukua juhudi gani ktk nafasi uliyonayo hapo kwenye hiyo company ili ipate faida na iendelee ku exist?
Unawasaidiaje owners ili wafikie Malengo yao?
Hahaha.... Samahani sikucheki ila nashangaaaa!Habarini za humu wanajamii,hapa nimefikiria nikaona hebu nije kuomba ushauri au mawazo katika hili.
Ninafanya kazi kwenye company moja hapa mjini kwa takribani miaka miwili hivi toka nimalize elimu yangu ya juu cha kushangaza ile company toka...
Umechukua juhudi gani ktk nafasi uliyonayo hapo kwenye hiyo company ili ipate faida na iendelee ku exist?
Unawasaidiaje owners ili wafikie Malengo yao?
Hahaha.... Samahani sikucheki ila nashangaaaa!!
Nastaajabu !!
Lazima Ujue kuwa wewe hapo ktk upendo wa Mungu.. Una ajira, una Afya, una chetu, una elimu nk nknk..
Sasa hofu na presha za nini???
FYI, wewe uko bora kuliko mamilioni ya watu..
Shukuru Mola kwa neema hizo.... acha kufuru!!
Huna tofauti ba malaya yaani wauza miili, hao huangalia mwenye nacho.Tafuta kazi nyingine mapema sana kabla hiyo laki nane haijapasuliwa kuja laki 4. Halafu ukiona sehemu unayo fanyia kazi sehem ya kuegesha magari hakuna, au ipo na hakuna magari bro hama hapo, ni njaa kali