Kamanda Moshi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,923
- 2,851
Hi wakuu, nimefika Nairobi tangu alhamis. Nimetafuta spare nayoihitaj lakini sijafanikiwa. Nimefika kote mliponielekeza kuanzia Dar es salaam road to Kirinyaga.
Nawashukuru sana friends wote wa 254. Nitarudi Tanzania soon kwa any friend atakayependa tuonane kwa ajili ya salamu plz nipm
Nawashukuru sana friends wote wa 254. Nitarudi Tanzania soon kwa any friend atakayependa tuonane kwa ajili ya salamu plz nipm