Nairobi: The City in the sun


sevenup

sevenup

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2018
Messages
974
Points
1,000
sevenup

sevenup

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2018
974 1,000
Watakuambia yao ni New York, so huwa nashangaa ni New York gani iko na gorofa tatu na flyover moja fupi ya 40meters.
Hao jamaa wanapenda kujidanganya Sana, na project kama river estate inatosha kumaliza hako kacbd kao
 
Teargass

Teargass

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2018
Messages
4,953
Points
2,000
Teargass

Teargass

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2018
4,953 2,000
I know you aren't the one talking but the jealousy in you, do you know that Nairobi is richer than entire Tanzania?
Barabara imejaa cheap cars za miaka ya 1990 outdated mikebe
 
sevenup

sevenup

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2018
Messages
974
Points
1,000
sevenup

sevenup

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2018
974 1,000

Hapa Africa hakuna hata jiji moja la kufananisha na manispaa za china
Wewe hunielewi....sisemi Nairobi ni level moja Shenzhen, lakini na maanisha upana wa eneo la CBD na wingi wa majengo sababu Africa hakuna jiji lina huo mfano isipokua Nairobi
 
tuusan

tuusan

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Messages
9,673
Points
2,000
Age
28
tuusan

tuusan

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2016
9,673 2,000
Wewe hunielewi....sisemi Nairobi ni level moja Shenzhen, lakini na maanisha upana wa eneo la CBD na wingi wa majengo sababu Africa hakuna jiji lina huo mfano isipokua Nairobi
Wewe unaugua ugonjwa gani Kwan?
Nairobi 5 ndio Johannesburg moja hapa unasema ina CBD kubwa pathetic
 
tuusan

tuusan

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Messages
9,673
Points
2,000
Age
28
tuusan

tuusan

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2016
9,673 2,000
Sababu hataki kuamini sawa umeshinda
Mm nafutilia hii thread kwa ukaribu sana,sioni vitu vipya ni angle mnabadili tu...sioni Izo barabara mkipost zaidi ya thika highway...mnaweza jikita kwenye miundombinu walau nipate picha how far you are ,viwanda nk
 

Forum statistics

Threads 1,296,167
Members 498,559
Posts 31,237,004
Top