Nairobi: The City in the sun

Concrete slums nairobi. Matumaini NMA ama Uhuru wapate muzi vile kupambana na hili tatizo.

Hilo tatizo huwezilinganisha na hili tatizo
Screenshot_20200512-103234.png
Screenshot_20200320-170923.png
Screenshot_20200216-004315.png
2347151_images289.jpg
 
Kuiliginsha slums za nairobi na slums za dar ama TZ kwa ujumla hiawezi ku rekebisha tatizo ya slums za kenya au nairobi. Tatizo ya slums ni noma sana kenya. Kufunga macho sio urekebisho.

Nairobi 2020.uchafu sana. NMS wajaribu lakini kazi ya kurekebisha nai ni kubwa sana.

Kwa hivyo leo kuna slums Dar wakati siku zote tunaambiwa Dar hakuna slums? 😂

Stop derailing this thread with your useless comparisons. This thread is about Nairobi, the city in the sun. Ukitaka comparisons and endless arguments nenda kwenye ile thread ya Dar vs Nairobi
 
Bro wachana na ubabi. Wewe diyo ume post slums za dar hapa kwa thread ya nai. Relax nai sio kili,westi,muthiaga runda ama karen peke. Kuna umoja ofafa jeri, pumu, eastleigh, calif, buru, kasarani, githurahi na the well known slums ya kibera, matha etc. Slums area ni kubwa sana . Ata langata west, south c area.

Umoja area 2020 View attachment 1633065
I was only responding to that stupid video you posted about slums. Kama hadi langata na south C ni slums tutaitaje Mazense, Gongo La mboto, Tandale, Mabibo, Segerea, Mwananyamala? Nk

Take a look at Google Earth images below of Langata "slum" and compare with the areas I mentioned above
Screenshot_20201123-153219.png
Screenshot_20201123-152905.png
 
Bro are you trolling the thread or what. Tengeneza thread ya slums uweke this shit and enjoy together with other Tanzanians. Stop derailing the thread.
Amejoin juzi but ako na utiaji ni kama ashamaliza miaka ishirini huku.
 
Buda wacha kuji repre kama dwanzi wa ubabi and bourgeoisie. Kyole iko somalia au nai. Title ya thread ina read nairobi city under the sun . Sio nairobi bila ma ghettos. So wewe post mawole zako za ki babi. Vijana na mastrugglerers wa ghetto wako nai. Sawa. tiya ze. Slums uncover iko nare. Punzi hiyo ubabi. Ubabi nime kamata life yamine yote akuna nime miss. Relax.
I can't for the love of God respect morons who talk or type like this. You clearly are a low Iq Kenyan idiot . Post whatever the https://jamii.app/JFUserGuide you want . Derail the thread .
 
Buda sina time yaku kueducate. User name yako tu tosha . Ni pakata. Teargass? Nihaje. Ume kuwa kwa blog 20yrs nabado utoi majuu. Puguza ubabi. blog sio yayourz. Ifs a free world OG. Ni 2020 sawa.
cheki buda, hakuna mse amekataa ati hakuna slums, if you go through this thread from page uno you'll get what this is about so for you to show up and go against that norm then kitu una prove tu ni we ndo rebel hapa, kuna thread za kupost vitu zingine. when you go yo rome do what romans do.
 
Buda sina time yaku kueducate. User name yako tu tosha . Ni pakata. Teargass? Nihaje. Ume kuwa kwa blog 20yrs nabado utoi majuu. Puguza ubabi. blog sio yayourz. Ifs a free world OG. Ni 2020 sawa.
Fake sheng. A Tanzanian this one. Which Nairobian says 'nihaje, pakata, yayourz'? Nice try.
 
Roundi hii ni kwa masufferers wa mtaa,
Dando masufferers ni mahustlers.

Boss watu wa eastlando tuko. Marish Jeri kunguni outaa buru oyole umo bahaa....umetoka eastland side gani?
Buda wacha kuji repre kama dwanzi wa ubabi and bourgeoisie. Kyole iko somalia au nai. Title ya thread ina read nairobi city under the sun . Sio nairobi bila ma ghettos. So wewe post mawole zako za ki babi. Vijana na mastrugglerers wa ghetto wako nai. Sawa. tiya ze. Slums uncover iko nare. Punzi hiyo ubabi. Ubabi nime kamata life yamine yote akuna nime miss. Relax.
Bruh..... somebody get this scrub outta here 😂
 
Bro mime kenyan nairobian. Sheng is dynamic -ever changing. It very poetical metaphorical language. One word can have various meanings depending on the context of usage and area.
Watch this video relax men. Peace out

Even American slang is dynamic but when a non-American tries speaking that slang, an American can tell from a kilometre away.
 
American slang? Wewe kweli ume grow up nai? Cause una type kilami tuu(english). America- north canada usa mexico. Central america-na south america. Which america. Anyway peace out . Kilometre ina kwa used canada na mexico. miles usa . Be specific. Poa
Where do you live? When people say America they mean USA. The continent is referred to as North America.
 
cheki buda, hakuna mse amekataa ati hakuna slums, if you go through this thread from page uno you'll get what this is about so for you to show up and go against that norm then kitu una prove tu ni we ndo rebel hapa, kuna thread za kupost vitu zingine. when you go yo rome do what romans do.
Let's stop giving the idiot attention now.
 
Let's stop giving the idiot attention now.
Vipi bado na kupatia nightmares , illusions na ma convulsions. Maprovacteurs wame show up hapa kibao. mob mentality on steds. Censorship kma za moi. English yako tu ime kuexpose. Inafaa umake blog yako na soldiers wako . Niaje una need kakimob waku help. Me ni lone soldier battling. Back to the thread post ma pictures wacha ku waffle waffle.
 
Hii ni sheng ya wapi buda
 
Back
Top Bottom