inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,805
- 22,633
kwa hiyo nairobi hakuna foleni!?Tunacho zungumzia hapa ni weledi katika miundo mbinu. Tanzania nahisi tunajenga miundombinu ambayo haitatui kero za foleni hicho ndicho kilio chetu.
Wengi hapa mnachanganya topic.. dar inaweza kuwa ina barabara nyingi za lami kuliko nairobi lakini hazitatui changamoto za foleni.