Bongo tutasubiri sana.
Bongo tutasubiri sana.
Tunacho zungumzia hapa ni weledi katika miundo mbinu. Tanzania nahisi tunajenga miundombinu ambayo haitatui kero za foleni hicho ndicho kilio chetu.Hizo barabara zimejengwa wakati ya Kibaki 2002-12.
China 70 years ago haikuwa kama sasa.
Mpaka 2008 watu walikuwa wanapitia Nairobi kwenda Dar toka Mwanza au Kampala-Nairobi-Dar toka Bukoba.
Leo Mwanza Dar au Bukoba Dar ni mkeka.
Leo Lindi Dar ni siku moja tu
Leo Lindi Songea Siku moja tu
Inaweza isiwe overnight achievement kuwa na flyover kama za Kenya.
Ila Tanzania ina potential ya kuvuka hapo in years to come.
Kampala 6 years ago haikuwa na flyover hata moja. Leo zipo kadhaa.
It takes visionary leader to make things happen.
Akitoka Ngosha; ndugu yangu ingia wewe ili uwe part ya great achievement kwa Tanzania yako na ya vizazi vijavyo
Kama hatatui; moja ya njia bora kabisa ni wewe visionary kuingia katika decision making body and be part of the changeTunacho zungumzia hapa ni weledi katika miundo mbinu. Tanzania nahisi tunajenga miundombinu ambayo haitatui kero za foleni hicho ndicho kilio chetu.
Wengi hapa mnachanganya topic.. dar inaweza kuwa ina barabara nyingi za lami kuliko nairobi lakini hazitatui changamoto za foleni.
Umeshafika Nairobi wew? Mbona foleni lipo kama kawa kama dawa!Tunacho zungumzia hapa ni weledi katika miundo mbinu. Tanzania nahisi tunajenga miundombinu ambayo haitatui kero za foleni hicho ndicho kilio chetu.
Wengi hapa mnachanganya topic.. dar inaweza kuwa ina barabara nyingi za lami kuliko nairobi lakini hazitatui changamoto za foleni.
Ndio car to population ratio tena kadri barabara zinavyojengwa zaidi, mikenya inanunua magari zaidi hivyo basi foleni kuongezeka. Serikali iliamua kijenga bypass kadhaa kuondoa magari yanayopitia mjini Ila destination yake Ni nje ya mji k.m Mallory yanayosafiri kutoka Mombasa kwenda Uganda yametengenezewa Southern bypass kuzuia kuingia CBD.Jiji la Nairobi ndo linaloongoza kwa foleni mbaya Africa Mashariki na Kati. Utatamani ushuke kwenye gari utembee kwa miguu, kama una haraka utalia!
Nairobi ni jiji la 4 kwa foleni duniani, Dar ya ngapi? Sometimes usiongee tu sababu unataka kusikika, mantiki ya JF ilishakufa watu mnaongea bila factsTunacho zungumzia hapa ni weledi katika miundo mbinu. Tanzania nahisi tunajenga miundombinu ambayo haitatui kero za foleni hicho ndicho kilio chetu.
Wengi hapa mnachanganya topic.. dar inaweza kuwa ina barabara nyingi za lami kuliko nairobi lakini hazitatui changamoto za foleni.
Msamehe mkuu kashiba kande huyo.Nairobi ni jiji la 4 kwa foleni duniani, Dar ya ngapi? Sometimes usiongee tu sababu unataka kusikika, mantiki ya JF ilishakufa watu mnaongea bila facts