MSAGA SUMU JF-Expert Member Joined May 25, 2015 Posts 6,715 Reaction score 21,922 Jul 13, 2023 #1 Watasema mmiliki wa hii chuma ni Humphrey Polepole kumbe wapi ni bwana Njoroge. Chuma imesimama kabisa na hapa ni Nairobi.
Watasema mmiliki wa hii chuma ni Humphrey Polepole kumbe wapi ni bwana Njoroge. Chuma imesimama kabisa na hapa ni Nairobi.
JF Member JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 8,363 Reaction score 11,790 Jul 13, 2023 #2 Haham haya mambo haya.
Nsanzagee JF-Expert Member Joined Jun 28, 2023 Posts 2,207 Reaction score 4,777 Jul 13, 2023 #3 Tanzania yenye laana! Ikipata Rais wa kweli, mzalendo, mpemda nchi na mleta maendeleo ya kweli, watanzania husema hawamtaki Haya sasa inatulazimu tumpende aliyepo sasa hata kama anaharibu mara mia zaidi
Tanzania yenye laana! Ikipata Rais wa kweli, mzalendo, mpemda nchi na mleta maendeleo ya kweli, watanzania husema hawamtaki Haya sasa inatulazimu tumpende aliyepo sasa hata kama anaharibu mara mia zaidi
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,918 Jul 14, 2023 #4 MSAGA SUMU said: Watasema mmiliki wa hii chuma ni Humphrey Polepole kumbe wapi ni bwana Njoroge. Chuma imesimama kabisa na hapa ni Nairobi. View attachment 2686909 Click to expand... Picha ya jitu la kisawasawa.
MSAGA SUMU said: Watasema mmiliki wa hii chuma ni Humphrey Polepole kumbe wapi ni bwana Njoroge. Chuma imesimama kabisa na hapa ni Nairobi. View attachment 2686909 Click to expand... Picha ya jitu la kisawasawa.