Nairobi, Kenya: Tundu Lissu aituhumu Serikali ya Tanzania kwa jaribio la kutaka kumuua na Bunge kutomhudumia Matibabu

Swali hili lijibiwe na wanachadema je kati ya lissu na lowassa ni yupi anayeweza kushambuliwa na Serikali kwa sababu za kisiasa?

Nani ana muda wa kumshambulia Lowassa? Lowassa hajawahi kuwa mkosoaji wa serekali, yeye anautaka urais basi. Lissu amekuwa mkosoaji wa watawala jambo ambalo linawaudhi na kuwaumiza kupita kiasi. Lowassa yeye anautaka urais na hawezi kuupata kwani ataibiwa kura na akiibiwa hana lolote analoweza kufanya. Kwa hiyo usione watu watoto ukataka kututoa kwenye reli kwamba hatujui madhara/tofauti ya Lissu na Lowassa kwa watawala. Kwa taarifa yako Lissu ana madhara mara milioni ukimlinganisha na Lowassa.
 
Huenda walimaanisha kuwa Kati ya risasi 36, kumi na sita pekee ndizo zilizomfikia mlengwa hivyo jaribu kuwaza nje ya box ....
 
Lissu kuituhumu serkali sijapendezwa
unatakiwa kutuomba radhi wapiga kura
wake...
Nasikitika kulituhumu jeshi la polisi
la Tanzania kwamba halijakuhoji Tundu Lissu kuhusu kushambuliwa kwako,...la hasha huu si ungwana kwa sababu,
Mbowe na chama chake,walisema hawataki
kuwaona Polisi wa Tanzania kuja kumhoji
Dreva wa Lissu,
Hawataki kuona Serkali ya Magufuli
na Bunge lake likitoa msaada wake,
Chama na wanachama,
watachangashana ili kulipia matibabu...
Lissu jaribu kumuuliza Mbowe,
nani aliyesgughurikia matibabu yako
Dodoma kama siyo serkali ya Magufuli.
Pole sana Tundu Lissu kwa kukurupuka.
Huo umoja wa mataifa unaosema kuitenga
Tanzania,
Imeshindwa kuzuia ubaguzi wa rangi na mauaji yanayoendelea Israel,Libya,North korea,Syria,South Sudan,Congo DRC...





Shambulio,
 
Kenya wanamshanga, mbona political assassination ni mkate wao wa kila siku hata Raila alikimbilia huku? Wanasiasa wa CCM mbona wamekufa wengi tu Kibiti na Mkuranga? Madiwani wengi wake wamerudi CCM ungetegemea baada ya speech yake nzuri wangeacha kutoka, au tuseme Iringa hawapati hizo habari nasikia leo wametoka watatu! Iringa hukohuko Dkt Klerruu aliuawa na wananchi wenye hasira 1969 kwa hiyo hii si mara ya kwanza. Uchaguzi kwa Nyalandu unakuja ngoja tuone, ingefaa awekwe kwenye ilani yao ya uchaguzi ili wananchi tujue tuizomee CCM.

Pamoja na maelezo yote uliyoyataja hapo juu, na hata wanacdm wote kuanzia madiwani, wabunge, mwenyekiti nk wakihamia ccm hiapunguzi ukweli wa alichosema Lissu. Mchukueni Mbowe, Lowassa arudi ccm bado ukweli wa alichozungumza Lissu unabaki pale pale.
 
Siwezi kumwaga damu kwa uongozi wa miaka kumi tu. Osama ni muuaji mzuri tu, lakini alipouawa tu kasi ya ugaidi ndo iliongezeka duniani. Makaburu walipowaua wasoweto kasi ya kudai uhuru ndo ilipamba moto
 
Tofautisha kati ya Jumla ya risasi zilizopigwa na Risasi zilizompata!!! Mbona haihitaji hata akili ya chuo kikuu
mashoga huwa hawaelewi mkuu wazee wa lumumba wanajuwa kabisa ili kuwapata mazezeta kama ambavyo una waona nadhani unaona wanavyo andika mambo ya kipuuzi ili kupata watu kama hao lazima wawainamishe wawaondowe akili zakawaida so elewa unabishana na mashoga ya lumbumba mkuu siyo vijana hao 80% walisha inamishwa wakaliwa kiboga!!
 
Haya ndo madhara na matokeo ya kujifanya mtetezi wa majambazi. Uwakili ni ishu ngumu sana wakuu. Inawezekana kabisa ktk kazi zake kuna wazee wa kazi aliwatetea au akapindisha sheria na haki za watu zikapotea. Na namna pekee wakaona wamtoe uhai. Mimi huwa najiuliza hivi kweli serikali ikitaka kukuua inaweza ikatumia mbinu za kishamba namna hiyo tena mchana kweupe?..Mwulizeni vizuri lazima anajua katika kazi zake lazima kuna mahali alilikoroga
Akili za kijinga za kibashiteee!!
 
Lissu kuituhumu serkali sijapendezwa
unatakiwa kutuomba radhi wapiga kura
wake...
Nasikitika kulituhumu jeshi la polisi
la Tanzania kwamba halijakuhoji Tundu Lissu kuhusu kushambuliwa kwako,...la hasha huu si ungwana kwa sababu,
Mbowe na chama chake,walisema hawataki
kuwaona Polisi wa Tanzania kuja kumhoji
Dreva wa Lissu,
Hawataki kuona Serkali ya Magufuli
na Bunge lake likitoa msaada wake,
Chama na wanachama,
watachangashana ili kulipia matibabu...
Lissu jaribu kumuuliza Mbowe,
nani aliyesgughurikia matibabu yako
Dodoma kama siyo serkali ya Magufuli.
Pole sana Tundu Lissu kwa kukurupuka.
Huo umoja wa mataifa unaosema kuitenga
Tanzania,
Imeshindwa kuzuia ubaguzi wa rangi na mauaji yanayoendelea Israel,Libya,North korea,Syria,South Sudan,Congo DRC...





Shambulio,

Vumilia tu ndio tabia ya ukweli huwa na tabia ya kuumiza. Huyo Lissu atibiwe maana ni haki yake, kama serekali inadhani haihusiki ni vyema ikatekeleza wajibu wake kwa Lissu kwani kuna ubaya gani kumtendea Lissu haki? Halafu huu uzi wako utahamishwa sasa hivi maana huna jipya la kuanzisha uzi.
 
Nyie si wa kuchekewa, hamna maana hata kidogo, kikwete aliwachekea Nusra mumtie nnanilii kwenye......., hapa ni komakoma tu mpaka mueleweke
Mtu mnafiki ni shimo refu kuliko kahaba,heri kuishi na mchawi kuliko mnafiki,aonavyo mtu nafsini kwake ndivyo alivyo.bora kuishi porini na simba kuliko UNAFIKI.
 
Lissu kuituhumu serkali sijapendezwa
unatakiwa kutuomba radhi wapiga kura
wake...
Nasikitika kulituhumu jeshi la polisi
la Tanzania kwamba halijakuhoji Tundu Lissu kuhusu kushambuliwa kwako,...la hasha huu si ungwana kwa sababu,
Mbowe na chama chake,walisema hawataki
kuwaona Polisi wa Tanzania kuja kumhoji
Dreva wa Lissu,
Hawataki kuona Serkali ya Magufuli
na Bunge lake likitoa msaada wake,
Chama na wanachama,
watachangashana ili kulipia matibabu...
Lissu jaribu kumuuliza Mbowe,
nani aliyesgughurikia matibabu yako
Dodoma kama siyo serkali ya Magufuli.
Pole sana Tundu Lissu kwa kukurupuka.
Huo umoja wa mataifa unaosema kuitenga
Tanzania,
Imeshindwa kuzuia ubaguzi wa rangi na mauaji yanayoendelea Israel,Libya,North korea,Syria,South Sudan,Congo DRC...





Shambulio,
ukiwa rais lazima uwe na ngozi ngumu lawama zote ni zako ingawa roho ya manuguniko kwa wapinzani inayoendela inakera
 
Haya ndo madhara na matokeo ya kujifanya mtetezi wa majambazi. Uwakili ni ishu ngumu sana wakuu. Inawezekana kabisa ktk kazi zake kuna wazee wa kazi aliwatetea au akapindisha sheria na haki za watu zikapotea. Na namna pekee wakaona wamtoe uhai. Mimi huwa najiuliza hivi kweli serikali ikitaka kukuua inaweza ikatumia mbinu za kishamba namna hiyo tena mchana kweupe?..Mwulizeni vizuri lazima anajua katika kazi zake lazima kuna mahali alilikoroga
Tueleze serikali inatumia mbinu gani za kuua ambazo wewe unaona sio za kishamba

Inaelekea unajua vingi tuambie
 
Back
Top Bottom