CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,942
- 9,464
- Thread starter
- #21
Kwa nini sijataja ku arange safari?
Nisha wahi ku arange safari za aina hii two times naachwa kwenye mataa.
Ukitangaza leo utapata watu zaidi ya 100 wanasema wanaenda ila hutaamini macho siku ya siku unajikuta pekee yako.
1. Mwaka juzi nili arange tena humu walitokea watu si chini ya 200 wa kutaka kwenda ila siku ya siku tulienda wa nne wote kutokea Arusha.
2. Mwaka jana sasa walio itikia kwenda walikuwa ni 50 mpaka imebakia wiki moja. Ila siku yenyewe nilijikuta peke yangu Nairobi.
So tangia hapo nika koma. Watanzania nawajua sana kwa Promise.
Siku ya siku kila mtu anakuja na sababu zisizo pungua Milioni 1 za kwa nini hajaweza kwenda.
USHAURI
Kama unataka kwenda wewe nenda wewe kama wewe kwa faida yako wewe mwenyewe. Ukianza kutafuta watu muende kama kikundi utalia siku ya siku ambapo kila mmtu ataanza kutoa sababu
Sent using Jamii Forums mobile app