CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,950
- 9,510
Wakuu haya maonyesho yalisogezwa mbele nazani kwa sababu tunajua, so yanaanza 26 mwezi huu, so wanao enda wanyoshe miko juu tuone tunafanyaje.
Kuondokea ni Arusha asubuhi saa 10 tunachukua Noha ya mapema sana, saa 12 asubuhi tusha gonga muhuri na tunakamata matatu za Namanga to Nairobi na saa 3 tuko Nairobi na by saa 4 tuko viwanjani.
Kundoka kule haina haraka tunachomoka saa 11 jioni na by saa 5 tutakuwa Arusha Mungu akipenda. Nauli ya Arusha to Namanga ni sh 8000/ Namanga to Nairobi inachezea sh 12, 000 hadi 13, 000/ kutegemea na exchange rate.
Kadi ya chanjo ya homa ya manjano ni muhimu sana wanazenguaga boda ila unaweza ipata pale kwa sh 10, 000/