CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,942
- 9,463
Mwezi wa kumi kuazjia tarehe 2 hadi 8 kutakuwa na Maonyesho ya kimataifa ya kilimo ya Nairobi. Haya ndo maonyesho makubwa kabusa Africa mashariki na kati.
Kwa watako taka kwenda.
Tutaondoka Arusha asubuhi saa 10 na saa 12 tunakuwa mpakani tunagonga pasport na tunachukua Hice za Namanga to Nairobi by saa 3 tuko Nairobi na tunazunguka kwa Maonyesho hadi saa 11 tunaondoka kurudi Arusha na by saa 4 au 5 tunakuwa Arusha.
Si arrange chochote anaye kwenda ni yeye na pesa mkononi makwe. Nauli ya Arusha to Namanga ni 7x2= 14,000
Nauli ya Namanga to Nairobi ni Tsh 12000 x 2= 24,000.
Jumla ya nauli from Arusha to Nairobi na kurudi ni around Tsh 38,000/
Kiingilio ni around 4000 hadi 5000/ pesa yako ya kula na ya kununua chochote.
Si arange safari narudia tena hili lieleweke.
Sent using Jamii Forums mobile app