Nairobi flyovers challenge kwa mawaziri wa ujenzi?

Flyovers za Kenya inawezaje kuwa challenge kwetu?? challenges zetu zinafahamika, particularly priority ya kwanza ni kuhakikisha barabara zilizopo zinapitika ktk kipindi chote cha mwaka. Pili kuangalia uezekano wa miji mikuu yote kuunganishwa na tarmac roads, tatu ni kuongeza coverage ya barabara za miwilayani ili ziunganishwe na zile tarmac kwene miji mikuu. Lengo hili likifikiwa ndio watz wote watafaidika na uwekezaji kwene miundombinu ya barabara. Pocket development kama hizo flyovers ni massive investment ambazo haziezi kuleta impact yeyote kwene uzalishaji.
 
Thinker:

Kuna miji mingi tu Ulaya haina flyover na mizuri. Matatizo ya watanzania ni kufikiri kuwa flyover ni solution ya matatizo ya usafiri wao. Na wakiona mwenzao kafanya kitu kikubwa na wao wanataka kuiga. Kwa mfano wabunge wa Tanzania walitembelea Addis Ababa airport. Na wao wakataka Tanzania wawe na airport kama hiyo wakati ndege chache za zinatua.

Tukurudi kwa mada ya msingi, watu wanakwenda downtown kila siku kwa sababu zisizo za maana. Kama wewe unakwenda kununua TV, viazi, nyanya, kufuata barua, kulipa luku kwanini uende downtown.

Vilevile commuter trains zinaweza kusaidia kupunguza msangamano. Na bila kusahau, slums zimezidi.
 
Thinker Za10,

Ni kweli watz wanataka kuwa ahead of themselves. Wanataka flyovers Ubungo au Tazara Junctions, wakati vijijini kule mvua ikinyesha watu wanakuwa visiwani, hawauzi hawanunui. Lazima kuepo na mgawanyiko mzuri wa miundombinu kwa sababu sehemu za nchi zinategemeana. Ukiimarisha moja na kuacha nyingine unakuwa hujafanya kitu.

Suala la foleni dawa ya kwanza ni kuimarisha usafiri wa umma, uwe wa kasi na comfortability levels za juu. Ukizidi kuengeza magari ya mitumba wakati usafiri wa umma ni mbovu na barabara ni finyu, huezi kutegemea tatizo lipungue.
 
Yeah, unajua viongozi wetu wasio-ona mbali (wananchi limbukeni included) wanadhani kuwa Tanzania iko Dar peke yake. No, Tanzania iko Tabora na Kigoma na Tuduma na Nyamongo na Kerende na Masasi na Nyamwaga na Kemakorere na... na.... (wapi pale... oh, nimepasahau...). And so, barabara za huko pia zinatakiwa kuwekewa rami and stuff. But that said, bado naunga mkono suala la flyovers huko Tazara na Ubungo junctions. Foleni ya Dar inalipunguzia Taifa mapato mengi sana (hili ni somo refu kidogo)
 
flyovers ni necessary, hasa hapa Dar es salaam. ukitaka kujua hilo, waulize watu wanaokaa kimara, namna wanavyopata shida na foleni ya pale ubungu asubuhi, wanaamka saa kumi na moja, hata wakifika kazini mchana ni kusinzia tu..kwanini tuteseke? na Dar ni mji unaoingiza pato kubwa karibia nusu ya pato la TRA linatoka Dar, sasa kwanini isiwe priority area yetu kujengwe miundo mbinu itakayofanya watu wafike ofisini kwa urahisi, wafanye kazi bila kuchoka sana? mimi nakaa kimara, shida ninayoipata asubuhi na jioni, sihitaji kumweleza tu..tunahitaji flyovers pale ubungo za kueleweka. kama nyie maeneo mengine hamtaki, sisi tunazitaka, sisi watu wa kimara, mbezi, kibamba...tunapata shida...tafadhali mtusaidie...
 
Wewe twambie kuwa unatangaza hiyo website yako tu na sio flyover.
Kwani umeshindwa kupaste image?
 
Back
Top Bottom