The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Wakenya wote tazama hapa chini muendelezo wa hii modern bus stop ya Mbezi, yn kuna underground parking ambayo iko floor ya tatu kwenda chini huwez kuta EA nzima so hilo ni bao lingine tumewapiga, kuna mkenya ataniletea kile ki underground parking ambacho kinahifadhi gari ishirini ambacho nacho kilishachapwa na ile ya Dar, hii yetu mpya inahifadhi gari km utitiriHahahaha unajifanya mwehu, weka airport au terminus yako hapa tulinganishe hv hv ikiwa haijakamilikaView attachment 1629131View attachment 1629132



