Mbona world bank walisema nyie ni middle income na tukakubali? Sisi huwa tunakubali ikiwa taarifa inatoka world bank ila nyie huwa mnapinga taarifa ya world bank. Waziri wenu anawadanganya kuwa nyie mna highest electrification rate in Africa halafu mimi nawaekea report ya world bank inayoonyesha kuwa Seychelles ndio ina highest electrification rate halafu wengine wenu mnakuja kupinga taarifa ya world bank. Sasa tuwachukulie vipi ikiwa hii ndio tabia yenu?
ichoboy01 wewe ndio ulikuwa unapinga taarifa ya world bank kwa kuniwekea matamshi ya waziri wenu. Badilikeni jameni kama mnataka mjadala wa heshima na wa kujifunza. Isiwe tu ni competition ya kipuuzi bali iwe kwamba sote tunakuja hapa kupata darasa.